Mataifa masikini kuanza kupelekewa chanjo dhidi ya COVID-19 kabla ya mataifa tajiri

Asipochanjwa mmoja tu basi ni tatizo kwa wengine,
Ndio maana wanataka sooote tuchanjwe ili tuwe sote salama, vinginevyo hakuna alie salama
 
Unaandikaje habari sensitive kama hii bila kuto source???
 
Tukikubali Huo ndo uzwazwa. Wao ndo wamepigika zaidi na hili janga (au tumepigika kiwango sawa) halafu eti sisi ndo wa muhimu zaidi kuanza kutumia chanjo waliyotengeneza wao
Wanampango Wa kutumaliza waafrika ndo maana wanakuja na hizi mbinu za kijinga
 
Asipochanjwa mmoja tu basi ni tatizo kwa wengine,
Ndio maana wanataka sooote tuchanjwe ili tuwe sote salama, vinginevyo hakuna alie salama
Kuna maana gani ya chanjo kama unaweza ukaugua tena huo ugonjwa ulio chanjwa.......maigizo
 
Yeah, wakishazifanyia majaribio huku ndio wanawapelekea mataifa tajiri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa tanzania endapo kama tutalazimika kuhitaji chanjo hii ni vyema tukapata chanjo hii toka china au india originated vaccine na si pfizer au madude gani sijui au ya russia[japo russia naona kama ni wale wale tu ]
Hii mimi nakuunga mkono, pia na ile ya Russia Sputnik V.
Kwa maoni yangua kwa trend ilivyo, hatuwezi kukwepa chanjo. Inabidi tu chanjo ije ili kupunguza maambukizi
 
Kumbe wanaanzia kwa mataifa masikini, sisi ni matajiri, ndio maana itachelewa kufika !
Jomba, wanaanzia wakati wenzako wameshawapa chanjo watu wao na wanaendelea! UK so far ameshawapa watu 15million. Na inatajwa vifo na maambukizi yanashuka sana. Israel the same!
 
Sawa, kwani lazima kutupa msaada, walete chanjo ya HIV kama wanataka.. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani nyungu sio mpango?
 
Sawa, kwani lazima kutupa msaada, walete chanjo ya HIV kama wanataka.. πŸ˜‚πŸ˜‚
Maambukizi ya HIV na corona sawa?

Kuulizia chanjo ya HIV ni kukosa hoja tu ilikuwa, wote tunajua jinsi gani ya kujikinga na HIV. Bora kinga kuliko tiba.

Tuna njia za kujikinga na ukimwi kama ktumia condom, na kuwa na mpenzi mmoja, au kuto zini kabisa.

Na kwenye HIV tunawabeza tu lakini leo tunaona jinsi mgonjwa wa ukimwi anavyo ishi mda mrefu kwa matumizi ya dawa kuliko mwanzo. Na dawa hizi zinazowasaidia wa gonjwa wa ukimwi ni kutokana na sayansi.
 
Hiyo chanjo ukishapewa tu unageuzwa unakuwa Freemason. Tafadhali ndugu zangu tusikubali kabisa
 
Sawa, walete chanjo za Ukimwi kama wanataka, Corona tutajifukiza
 
Kwamba wazungu wanatupenda saaana
Au wanataka kutuongezea madeni ili kututawala zaidi kiuchumi..
Kwann hizo chanjo zisianzie kwao walioathirika zaidi???
 
Kampuni ya Johnson and Johnson pamoja na Aspen hawa wapo kwenye tafiti ya muda mrefu kuhusu hii corona ya pili kwa SA nadhani wao watatoa dawa kwa Nchi za SADC labda ulaya waikatae maana makumpuni ya simu Vodacom na MTN wamechangia pesa kwa ajili ya kuisambaza hiyo dawa na hili limekuja baada ya Great skill hospital kuikataa dawa kutoka India ambayo iliingia kisiasa bila kufata taratibu za wataalamu...
 
Sina takwimu lakini kuna kitu kinaniambia wapinga chanjo humu jamvini ndio hao hao wanywaji wa Azam na Mo energy.
 
Haya mabeberu huenda yameleta corona ili kupiga hela na si bure "This is business' wataalamu wetu hawanabudi kuingia kwenye mchakato na wao wakatoa vaccinations yao tukaiuza ulimwenguni au taifa letu toka kitambo linasomesha watu hewa?hatuna kweli hao watu?au wameshageuka wana siasa?kila kitu siasa watu wanashindwa kubobea kwenye taaluma zao na wakikaa humo wanatolewa na kutupwa kwenye siasa sasa ni lini tutapata wataalamu wetu wabobezi katika kila fani? [LEO NAGHADHABU SANA]
 
Taaluma hiyo inatakiwa iwe huru niliona haipo huru wale mawaziri walipotoka huko na mkojo wa punda wakidai dawa walikunywa hadharani bila kupitia vitengo muhimu vya utafiti wa dawa na magonjwa ya mlipuko unategemea nini...
 
Taaluma hiyo inatakiwa iwe huru niliona haipo huru wale mawaziri walipotoka huko na mkojo wa punda wakidai dawa walikunywa hadharani bila kupitia vitengo muhimu vya utafiti wa dawa na magonjwa ya mlipuko unategemea nini...
Hatuna mipaka na migawanyo ya kiutendaji hasa mipangilio ya taaluma zetu ambazo wengine wamezisomea pengine hata kwa miaka 15 -20 Daktari kwake ni hospitalini mwalimu kwake ni mashuleni mwanasheria alkadhalka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…