Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
 
Naendelea kuzionya nchi zingine za EAC kuwa zisipeleke Askari ( Wanajeshi ) wao huko Congo DR kama walivyofanya Wakenya kwani kwa Uhodari wa Waasi wa Kitutsi wa M23 wenye Akili Kubwa na Uhodari wa Kimedani ( Vita ) hawatorejea Salama huko nchini Kwao.
 
Wanyarwanda mna shida sana. Hasa utusi ni tatizo kubwa.
 
Naendelea kuzionya nchi zingine za EAC kuwa zisipeleke Askari ( Wanajeshi ) wao huko Congo DR kama walivyofanya Wakenya kwani kwa Uhodari wa Waasi wa Kitutsi wa M23 wenye Akili Kubwa na Uhodari wa Kimedani ( Vita ) hawatorejea Salama huko nchini Kwao.
Kwenu Rwanda nao watapeleka majeshi pia?
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.

Ni aibu kabisa kusema kwamba EAC imeshindwa kushughulikia hawa waasi, bora ivunjwe tu
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Bana wa Kongo imerecruits 3000 wanatosha sana, Uganda Jana kapeleka 1000 watunza amani, kwa Sisi Tanzania hatuna sababu kwani mjumuiko wote huo ni fimbo tosha kwa pinoccio!
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Mbona ile 2014 walikimbizwa kama vile kikundi cha wanywa gongo?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Mwanajeshi eneo lake ni vita,kama vile dokta Hana maana kama hakuna wagonjwa,
Sasa uanajeshi wa nini kama hakuna vita!na kufa vitani,sio kitu Cha ajabu,
 
Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata hakuna kabisa.
Hao Wanywarwanda wenzako, hawana uhodari wowote, umoja wa mataifa sema hawataki vita iishe, ili biashara ya kupiga pesa iendelee.

Ndiyo maana jeshi la walipoenda Congo na silaha zinaitwa kaokote mkaa, Waliwatwanga mara moja tu, M23 ilisambalitika vibaya sana, maana vijana wengi walikua mkaa, na kuikimbia Dunia.

Umoja wa UN, wakaiambia Tanzania, nyie mmekuja kulinda amani, mbina mmekuja na silaha ndoige, hebu rudisheni Tanzania mbaki na silaha ndogondogo za kujihami tu.

Ndiyo maana M23, wamepata nafasi ya kujiunda upya, lakini hawana nguvu yeyote, zaidi ya UN, haitaki vita iishe.
 
Back
Top Bottom