mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya!
Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani!
Kinyume chake vikwazo vimewageuka na kuwaumiza wao na raia wao wameanza kuingia mitaani kuandamana kupinga ugumu wa maisha hususan kupanda kwa mafuta na gesi.
NATO walivyoona hivyo wakaona kuliko kukubali kuwa urusi imeshindikana kwenye uwanja wa kijeshi na kiuchumi wakaona sifa waipe Iran kuwa eti drones za Iran ndio kiini cha ubabe wa Urusi katika kuiadhibu Ukraine !!
Ukweli ni kwamba Drones alizotumia urusi si za Iran. Hata mabaki ya drones hizo hazina chapa ya Iran bali chapa ya Urusi!!
Watu 30 wamemchangia mtu mmoja na bado ametangaza kumeza sehemu ya nchi yao jumla!!