Davey15
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 203
- 217
Hajui huyo pia russia alitia mkono kumbakisha assad na marekan akasanda na NATOAfghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.
Unajua Afghanistan USA haikwenda peke yake?,unajua ilikwenda na NATO?
Septemba 11 ndio ilipelekea USA kwenda afghan,je September 11 haikua kweli?
je Bin laden hakua kweli?.
"influence"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
syria bado Yuko?
je lengo la kumtoa Assad halikua la kweli,unazikumbuka kauli ,za akina John Kerry,Trump na wengineo kua "Assad must Go",unazikumbuka?
je Assad yupo au hayupo?