jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Urus sio libya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa kunyakuliwa na WasovietUkweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya!
Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani!
Kinyume chake vikwazo vimewageuka na kuwaumiza wao na raia wao wameanza kuingia mitaani kuandamana kupinga ugumu wa maisha hususan kupanda kwa mafuta na gesi.
NATO walivyoona hivyo wakaona kuliko kukubali kuwa urusi imeshindikana kwenye uwanja wa kijeshi na kiuchumi wakaona sifa waipe Iran kuwa eti drones za Iran ndio kiini cha ubabe wa Urusi katika kuiadhibu Ukraine !!
Ukweli ni kwamba Drones alizotumia urusi si za Iran. Hata mabaki ya drones hizo hazina chapa ya Iran bali chapa ya Urusi!!
Watu 30 wamemchangia mtu mmoja na bado ametangaza kumeza sehemu ya nchi yao jumla!!
Pumbavu zako [emoji706][emoji706][emoji706]Akili mtu wangu.. watu ulimwengu wa sasa wanapigana kiakili na sio kutumia manguvu, mara zote ambazo america amepambana na urusi amemshinda kiakili, na ndio mana uchumi na urusi hauko kwenye kumi bora duniani na umepitwa na kanchi kadogo kama korea kusini, hiyo ni kazi ya baba wa NATO, yani america, akili mtu wangu...
👏👏👏👏🤝🤝🤝Sasa km kupgana ni akili kwann wanatuma silaha Ukrain???
Akili sio?Akili mtu wangu.. watu ulimwengu wa sasa wanapigana kiakili na sio kutumia manguvu, mara zote ambazo america amepambana na urusi amemshinda kiakili, na ndio mana uchumi na urusi hauko kwenye kumi bora duniani na umepitwa na kanchi kadogo kama korea kusini, hiyo ni kazi ya baba wa NATO, yani america, akili mtu wangu...
Hawa NATO,wanauweka usiku,hii vita ina matokeo matatu,Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya!
Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani!
Kinyume chake vikwazo vimewageuka na kuwaumiza wao na raia wao wameanza kuingia mitaani kuandamana kupinga ugumu wa maisha hususan kupanda kwa mafuta na gesi.
NATO walivyoona hivyo wakaona kuliko kukubali kuwa urusi imeshindikana kwenye uwanja wa kijeshi na kiuchumi wakaona sifa waipe Iran kuwa eti drones za Iran ndio kiini cha ubabe wa Urusi katika kuiadhibu Ukraine !!
Ukweli ni kwamba Drones alizotumia urusi si za Iran. Hata mabaki ya drones hizo hazina chapa ya Iran bali chapa ya Urusi!!
Watu 30 wamemchangia mtu mmoja na bado ametangaza kumeza sehemu ya nchi yao jumla!!
Acha ujuaji wewe mmakonde wenzako hawakurupuk ,drone zimeshajulikana had mmiliki wa hiyo kampuni ,yeye na kampuni yake asett zake zote alizowekeza nchi za ulaya zimekua freezed usituletee utopolo wa kutunga hapa ,alaf usichokijua drone za kujilipua hata west wanazo hazina maajabu sana kwenye uwanja wa vita.labda mijini
Acha uongoNATO hawataki kummaliza rusia bali nato wanataka Ukraine ndio immalize russia.
na russia anamalizwa kweli kweli.
Huo ni ujumbe kwa mabeberu ya Nato kuwa hayana akili😂😂Hizi drones anazotumia Urusi zina kazi mbili kubwa: 1. Kuangamiza silaha kubwa kubwa a adui kama vifaru na magari ya deraya pamoja kuharibu mitambo inayofua umeme nchini nukraine. 2. Kuharibu ant-missile systems za ukraine, iko hivi: Bei ya drone ni dola za marekani 20,000. Lakini kombora la kuiangamiza ili isilete madhara makubwa bei yake kwa chini ni dola za marekani 2,000,000. Yaani unatumia silaha yenye gharama mara 100 ili kuzuia hiyo drones. Hii ni hasara!! Kwa hiyo ukiipiga ni hasara na usipoipiga ni hasara!!
Hizo ndio akili za watu wa ulaya na Marekani,shida ni kuwa akili zao zinaongozwa na chuki kwa Mrusi🚶Uongo mtupu. Yaani Iran aweze kutengeneza Drones halafu US au Russia ashindwe? Hizi ni porojo kama porojo zingine. Ni propaganda za kidwanzi kama zile za kusema Saddam Hussein alikua na silaha za Maangamizi (WMD)kumbe uongo mtupu!
Afghanistan haina maslah yeyote ya kiuchumi kwa amerca nchi ina ukame kila sehem sana sana america hapo tu ni alikua anatafuta infuence. syria yuko kule bado hajaondoka anakula mafuta tubya bure, akili mtu wanguAkili sio?
Kupigana na vikundi visivyo na landforce,airforce,wala navy kwa miaka 20 ,Tena kwa kutumia silaha zote ulizonazo Hadi kutumia MOAB,kasoro nyukilia TU.ndio akili hizo?
Kupigana miaka 20 na vikundi viwili TU kwa ajili ya kumsaka mtu mmoja TU,Tena kwa ushirika wa NATO na wasio NATO ndio akili hizo?
Kuingia vitani na Nchi ndogo ya Iraq mara mbili nchi za NATO na zisizo z NATO na silaha za aina zote,majeshi yote,ndo akili hizo?
Kutaka kumuondoa Assad kijeshi kwa kushirikiana na waasi pamoja na Makundi ya magaidi ndio akili unazozizungumzia hapa au Kuna akili nyingine.
Ninaposema vikundi namaanisha Alqaida na Taleban.
Propaganda ni sawa na Limbwata.
Ukipewa Limbwata unakua zezeta.
Ukipewa propaganda unakua.......
Nilisahau bana,Yugoslavia ilipigwa na NATO Hadi ikachakaa.
Akili hizo?
Ndio hoja yako.Pumbavu zako [emoji706][emoji706][emoji706]
Putin anatumia nguvu nyingi kupigana vita USA na Ulaya wanatumia idara zao nyeti kupigana vita. Why kama ni msomi wa vita u upo usemi unasema ukikimbuzana na chizi unakuwa chizi. Hakuna mtu mwenye akili anamuona Putin yupo sawa na ili kuuthibitishia ulimwengu huyu jamaa lazima wamnyonge kupitia sheria ya nchi yake labda afe kabla ya hukumu. Wala yeye sio wa kwanza hivi ndivyo Hitler aliufanya na yeye anaendelea.Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya!
Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani!
Kinyume chake vikwazo vimewageuka na kuwaumiza wao na raia wao wameanza kuingia mitaani kuandamana kupinga ugumu wa maisha hususan kupanda kwa mafuta na gesi.
NATO walivyoona hivyo wakaona kuliko kukubali kuwa urusi imeshindikana kwenye uwanja wa kijeshi na kiuchumi wakaona sifa waipe Iran kuwa eti drones za Iran ndio kiini cha ubabe wa Urusi katika kuiadhibu Ukraine !!
Ukweli ni kwamba Drones alizotumia urusi si za Iran. Hata mabaki ya drones hizo hazina chapa ya Iran bali chapa ya Urusi!!
Watu 30 wamemchangia mtu mmoja na bado ametangaza kumeza sehemu ya nchi yao jumla!!
Kama hii hoja Ina ukweli ndani yake!! Basi NATO Wana wakati mgumu sana!! Inabidi watumie akili kubwa.... La sivyo watajikuta wanapoteza gharama kubwa na faida haionekaniHizi drones anazotumia Urusi zina kazi mbili kubwa: 1. Kuangamiza silaha kubwa kubwa a adui kama vifaru na magari ya deraya pamoja kuharibu mitambo inayofua umeme nchini nukraine. 2. Kuharibu ant-missile systems za ukraine, iko hivi: Bei ya drone ni dola za marekani 20,000. Lakini kombora la kuiangamiza ili isilete madhara makubwa bei yake kwa chini ni dola za marekani 2,000,000. Yaani unatumia silaha yenye gharama mara 100 ili kuzuia hiyo drones. Hii ni hasara!! Kwa hiyo ukiipiga ni hasara na usipoipiga ni hasara!!
Afghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.Afghanistan haina maslah yeyote ya kiuchumi kwa amerca nchi ina ukame kila sehem sana sana america hapo tu ni alikua anatafuta infuence. syria yuko kule bado hajaondoka anakula mafuta tubya bure, akili mtu wangu