Mataifa takriban 30 ya NATO yanakwama wapi kummaliza Urusi? Wanabaki kulialia tu eti drones za Iran!

Wanaogopa kunyakuliwa na Wasoviet
 
Pumbavu zako [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Sasa km kupgana ni akili kwann wanatuma silaha Ukrain???
👏👏👏👏🤝🤝🤝
Una akili sana wewe dogo.
Watu wamelishwa propaganda Hadi wamekua mazezeta.
Ni juzi TU USA wamekimbia Afghanistan waliwakimbia watalaban.
Huko walikaa miaka zaidi ya 20 kwa Kila aina ya silaha nzito nzito wakimtafuta mtu mmoja TU.
Sasa hao ndo huyo mtu uliemjibu anawaita Wana akili.
Kumsaka mtu mmoja TU miaka 20 na masilaha Yao yote.
Akili hizo?
 
Akili sio?
Kupigana na vikundi visivyo na landforce,airforce,wala navy kwa miaka 20 ,Tena kwa kutumia silaha zote ulizonazo Hadi kutumia MOAB,kasoro nyukilia TU.ndio akili hizo?

Kupigana miaka 20 na vikundi viwili TU kwa ajili ya kumsaka mtu mmoja TU,Tena kwa ushirika wa NATO na wasio NATO ndio akili hizo?

Kuingia vitani na Nchi ndogo ya Iraq mara mbili nchi za NATO na zisizo z NATO na silaha za aina zote,majeshi yote,ndo akili hizo?

Kutaka kumuondoa Assad kijeshi kwa kushirikiana na waasi pamoja na Makundi ya magaidi ndio akili unazozizungumzia hapa au Kuna akili nyingine.
Ninaposema vikundi namaanisha Alqaida na Taleban.

Propaganda ni sawa na Limbwata.
Ukipewa Limbwata unakua zezeta.
Ukipewa propaganda unakua.......

Nilisahau bana,Yugoslavia ilipigwa na NATO Hadi ikachakaa.
Akili hizo?
 
Hawa NATO,wanauweka usiku,hii vita ina matokeo matatu,
Mosi,vita itaendelea kwa muda mrefu,mpaka watu wengi wafe,na Urusi ashinde.
Pili,Urusi akiona anashindwa,kama inavotokea sasa hv,atapiga nukilia Kiev,na game litaishia hapo,na mwanzo wa vita ya tatu ya Dunia.
Tatu,Ukraine,ataambiwa,asalimu amri,aachie baadhi ya majimbo,na nia yake ya kujiunga EU,na NATo,itakuwa imeisha,Urusi ataibuka mahindi,na ataanza kuzisumbua nchi zingine zilizokuwa members wa Soviet block,kama Poland,nk
 

Uongo mtupu. Yaani Iran aweze kutengeneza Drones halafu US au Russia ashindwe? Hizi ni porojo kama porojo zingine. Ni propaganda za kidwanzi kama zile za kusema Saddam Hussein alikua na silaha za Maangamizi (WMD)kumbe uongo mtupu!
 
Huo ni ujumbe kwa mabeberu ya Nato kuwa hayana akili😂😂
 
Uongo mtupu. Yaani Iran aweze kutengeneza Drones halafu US au Russia ashindwe? Hizi ni porojo kama porojo zingine. Ni propaganda za kidwanzi kama zile za kusema Saddam Hussein alikua na silaha za Maangamizi (WMD)kumbe uongo mtupu!
Hizo ndio akili za watu wa ulaya na Marekani,shida ni kuwa akili zao zinaongozwa na chuki kwa Mrusi🚶
 
Afghanistan haina maslah yeyote ya kiuchumi kwa amerca nchi ina ukame kila sehem sana sana america hapo tu ni alikua anatafuta infuence. syria yuko kule bado hajaondoka anakula mafuta tubya bure, akili mtu wangu
 
Utamalizwa hadi utakuta lakini Russian itabaki
 
Putin anatumia nguvu nyingi kupigana vita USA na Ulaya wanatumia idara zao nyeti kupigana vita. Why kama ni msomi wa vita u upo usemi unasema ukikimbuzana na chizi unakuwa chizi. Hakuna mtu mwenye akili anamuona Putin yupo sawa na ili kuuthibitishia ulimwengu huyu jamaa lazima wamnyonge kupitia sheria ya nchi yake labda afe kabla ya hukumu. Wala yeye sio wa kwanza hivi ndivyo Hitler aliufanya na yeye anaendelea.
 
Kama hii hoja Ina ukweli ndani yake!! Basi NATO Wana wakati mgumu sana!! Inabidi watumie akili kubwa.... La sivyo watajikuta wanapoteza gharama kubwa na faida haionekani
 
Apigwe tu Adui maana hakuna namna
 
Afghanistan haina maslah yeyote ya kiuchumi kwa amerca nchi ina ukame kila sehem sana sana america hapo tu ni alikua anatafuta infuence. syria yuko kule bado hajaondoka anakula mafuta tubya bure, akili mtu wangu
Afghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.
Unajua Afghanistan USA haikwenda peke yake?,unajua ilikwenda na NATO?
Septemba 11 ndio ilipelekea USA kwenda afghan,je September 11 haikua kweli?
je Bin laden hakua kweli?.
"influence"🤣🤣🤣🤣🤣.

syria bado Yuko?
je lengo la kumtoa Assad halikua la kweli,unazikumbuka kauli ,za akina John Kerry,Trump na wengineo kua "Assad must Go",unazikumbuka?
je Assad yupo au hayupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…