Hajui huyo pia russia alitia mkono kumbakisha assad na marekan akasanda na NATOAfghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.
Unajua Afghanistan USA haikwenda peke yake?,unajua ilikwenda na NATO?
Septemba 11 ndio ilipelekea USA kwenda afghan,je September 11 haikua kweli?
je Bin laden hakua kweli?.
"influence"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
syria bado Yuko?
je lengo la kumtoa Assad halikua la kweli,unazikumbuka kauli ,za akina John Kerry,Trump na wengineo kua "Assad must Go",unazikumbuka?
je Assad yupo au hayupo?
america bado yupo syria anakula tu mafuta ina mana hujui hilo? septemba 11 na osama ni project spesheli za pentagon, sema upewe nondo kijana bado upo gizani... akili mtu wanguAfghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.
Unajua Afghanistan USA haikwenda peke yake?,unajua ilikwenda na NATO?
Septemba 11 ndio ilipelekea USA kwenda afghan,je September 11 haikua kweli?
je Bin laden hakua kweli?.
"influence"🤣🤣🤣🤣🤣.
syria bado Yuko?
je lengo la kumtoa Assad halikua la kweli,unazikumbuka kauli ,za akina John Kerry,Trump na wengineo kua "Assad must Go",unazikumbuka?
je Assad yupo au hayupo?
mkuu sababu ingine ni kwamba kama kuna njia rahisi na nyepesi ya kupambana na adui yako na ukamshinda je kwanini utumie njia ngumu na nzito? kumchinja kobe kunahitaji timing na sio manguvu, putin ni kobe na atachinjwa tu tupo hapa, alichinjwa hitler sembuse putin? akili mtu wanguFrom the point of View watu huwa hawaelewi kwanini wastern hawataki direct confrontation na Urusi,Sababu kubwa Ni kwamba Urusi hawezi kupigana na western kwa sababu there is no match militarily,ivo wakijaribu tu anaachia nyuklia hyo ndio sababu kuu,ooh Mara utasikia oooh Putin hataree anapiga NATO wote,watu wengi hasa wa humu Ni wajinga halafu wavivu wa kufikiri wengi wanaendeshwa na Ushabiki
America yupo syria na hana mpango wa kutoka huko.. anachimba mafuta hukoAfghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.
Unajua Afghanistan USA haikwenda peke yake?,unajua ilikwenda na NATO?
Septemba 11 ndio ilipelekea USA kwenda afghan,je September 11 haikua kweli?
je Bin laden hakua kweli?.
"influence"🤣🤣🤣🤣🤣.
syria bado Yuko?
je lengo la kumtoa Assad halikua la kweli,unazikumbuka kauli ,za akina John Kerry,Trump na wengineo kua "Assad must Go",unazikumbuka?
je Assad yupo au hayupo?
MIDDLE EAST AMERCA ANATAFUTA INFLUENCE MTU WANGUAfghanistan USA alikua anatafuta influence.-aisee kweli Dunia Ina mambo.