Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Tanzania ina geothermal reserves kubwa kuliko Kenya in total over 20000 MW lying underground! Tatizo ni gharama ya teknolojia haina multiplying effect to the economy ndo maana ndo JPM jaweka kando!

Kuanzia mitambo mpaka uchimbaji wa visima vya joto ardhi zimechimbwa na expertriates ndo maana KenGen inaendelea kula hasara ikilipa madeni na capacity charges kwa likes of mitsubishi!
Citizen TV: KenGen half year earnings double to Ksh.8.2B, growth flat in full....
https://citizentv.co.ke/business/ke...-to-ksh-8-2b-growth-flat-in-full-year-324533/
Umesema hasara?
 
Napata raha sana jinsi Kenya inatoa darasa kwa mataifa yote, akili kubwa, kainchi kadogo na asilimia kubwa ni kame tupu, lakini tutaongoza mpaka basi.
Tatizo kwenu ni nyie CCM, siku mtaacha kushikilia akili za Watanzania, ndio nchi itajikomboa kutok kwa umaskini na elimu mbovu.
But why kenyans are still living in a poor condition than Tanzanians?
Ushajiuliza hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanijibu broo umejibu kitu tofauti na nilichokuuliza

Kwamba mnaishi kwenye poor condition kwasababu media zenu zipo huru?
Jibu la kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ni vigumu kujua Hali halisi ya Tz kwa vile media zenu ziko under strict surveillance from the your Government. Tulishudia juzi kukamatwa kwa waliopiga na kupost picha za barabara mbovu.
 
Back
Top Bottom