Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Umepotea njia. Rudi kwenye jukwaa la mapenziMziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea njia. Rudi kwenye jukwaa la mapenziMziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyie mmekatazwa kuigaHata mzki mumeiga Wanaijeria, sikiliza vizuri Bongo flavo za kisasa ni midundo ya Kinijeria, nyie hamna chochote labda vigodoro kule uswazi.
Aiseeh hayaKutoka kwetu ndugu zenu au mkipenda muende kwa wazungu. Hamna Watu weusi wengine duniani wanaoweza kuwapa haya mafunzo isipokuwa sisi. Pengine mkimbilie wazungu kama Wajapani au Wamarekani.
Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida 😂😂😂Kwan nyie mmekatazwa kuiga
Hadi chaiula ila tuna hela ya kununua toka kwenu na kwingineko.Hadi chakula?
Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?Hata mzki mumeiga Wanaijeria, sikiliza vizuri Bongo flavo za kisasa ni midundo ya Kinijeria, nyie hamna chochote labda vigodoro kule uswazi.
Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni singeli muziki wa uswahilini kabisa kwenye vidogoro.
Ndio fun yako?. Nimekuambia tulichowazidiUmepotea njia. Rudi kwenye jukwaa la mapenzi
Muziki wa bongo ni kama maji usipo yanywa utayaoga tu 😂😂😂Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?
Sent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida 😂😂😂
Hii ni singeli muziki wa uswahilini kabisa kwenye vidogoro.
Kabisa mkuuMuziki wa bongo ni kama maji usipo yanywa utayaoga tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo sour music ni hadithi za wazee Kenya hivi Sasa Kuna mtindo mpya was Hawa millennials na ndio maana Bongo artists hawaalikwi Kenya as before.Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni drama tu za kwenye vitabu. Kenya kuhusu mziki sahauni. Nyie kimbieni tu kama swala. Lakini mziki waachie wabongo. Hata uje mziki wa aina gani,lakini mziki utakaobaki unaochezeka kwenye majumba yenu yote hata ya starehe ni wa kibongo mileleBongo sour music ni hadithi za wazee Kenya hivi Sasa Kuna mtindo mpya was Hawa millennials na ndio maana Bongo artists hawaalikwi Kenya as before.
Pigwa mboko huu mchezo ni Haram.
I don't listen to that sissy boy music na ndio maana nikakwambia millennials Yani waliozaliwa baada year 2000 hawatambui huo mziki so maybe in the next 5 years hata sisi tuliopata bongo flava tutazisahau na kukumbatia kizazi kipya...hebu tafuta any recent shows za bongo artists Kenya utapata hamna ama kapungia kwa asilimia kubwa.Hizo ni drama tu za kwenye vitabu. Kenya kuhusu mziki sahauni. Nyie kimbieni tu kama swala. Lakini mziki waachie wabongo. Hata uje mziki wa aina gani,lakini mziki utakaobaki unaochezeka kwenye majumba yenu yote hata ya starehe ni wa kibongo milele
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia GDP utapata jibu...Kama ya kwako ni below $70b then jua akili yenu fupi Kama ya ngiri, Kama imefika $80b then karibu kwa meza ya hekima.Tangu lini wajinga mnaobaguana kisa makabila mkawa na akili!
GDP ya kwenye makaratasi.Angalia GDP utapata jibu...Kama ya kwako ni below $70b then jua akili yenu fupi Kama ya ngiri, Kama imefika $80b then karibu kwa meza ya hekima.
Geothermal plants are very expensive i dont expect us to build it any time soon..Natural Gas bomba lipo na bado lina capacity ya kutosha ...construction of 185 Mw Kinyerezi 1 cost..were about 185millionUSD ..why spend 821mil to get 600mw ..rather spend 800mil to get 800mwhatuwezi kuwapa mradi wala rushwa! Utaniambia kama mradi wa Geothermal Tanzania atapewa Mkenya! Any elements of Kunyans? [emoji116]
TANZANIA: Ngozi geothermal power plant construction to start in 2021
By Jean Marie Takouleu - Published on April 30 2019 / Modified on September 29 2019
![]()
The director of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC), Kato Kabaka, recently announced to members of Tanzania's Parliamentary Committee on Energy and Minerals that construction of the Ngozi geothermal power plant would begin in 2021.
New developments on Ngozi’s geothermal project. The construction of the plant, located in the Mbeya region of western Tanzania, will begin in 2021. The director of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC), Kato Kabaka, recently spoke out in this regard at a workshop for members of the Tanzania Parliamentary Committee on Energy and Minerals.
“The government is currently finalising the process of amending the law that will facilitate the development of geothermal energy in the country,” said Kato Kabaka. He added that the authorities have already invested more than 20 billion Tanzanian shillings (US$8.7 million) in the construction project for the Ngozi geothermal power plant. This investment was used to acquire drills for the installation of geothermal wells on the project site.
A total investment of $821 million
Kato Kabaka also pointed out that the Tanzanian government plans to develop seven geothermal projects between 2021 and 2025. They will be located in Songwe and Luhoi in the lower Rufiji River, as well as in Kiejo-and Mbaka, in Lake Natron in the heart of the Mbeya region. Once completed, the plants will produce 200 MW.
Regarding the Ngozi project, the government plans to inject $821 million to develop it. It will produce 600 MW. To date, 50 sites have been identified as having sufficient potential for the first phase of the project. The aim is to produce 200 MW, then 400 MW in Phase II. The latter also includes the construction of an 18 km transmission line between Ngozi and Mwakibete, also in the Mbeya region.
Exploration of the Ngozi geothermal project is still ongoing. This phase of the project was funded to the tune of $21.7 million by the Climate Investment Fund (CIF). This support is part of the CIF’s Renewable Energy Expansion Programme (REEP). Included in this budget envelope: $5 million represents a $16.73 million loan from the African Development Bank (AfDB).
Jean Marie Takouleu
![]()
TANZANIA: Ngozi geothermal power plant construction to start in 2021 | Afrik 21
The director of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC), Kato Kabaka, recently announced to members of Tanzania's Parliamentary Committee on Energy and Minerals that construction of the Ngozi geothermal power plant would begin in 2021.www.afrik21.africa
MY TAKE
Ikitokea kampuni ya Kenya inapewa tender Tanzania i will start a compaign for disqualification! U guess u know me! Ubabaishaji wenu bakisheni hukohuko Kunyaland!
Kiswahili hicho hicho mnaongea kama mnarudi rivas ndio mnaponikomoa nyie gulugujaI don't listen to that sissy boy music na ndio maana nikakwambia millennials Yani waliozaliwa baada year 2000 hawatambui huo mziki so maybe in the next 5 years hata sisi tuliopata bongo flava tutazisahau na kukumbatia kizazi kipya...hebu tafuta any recent shows za bongo artists Kenya utapata hamna ama kapungia kwa asilimia kubwa.