Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Ati nchi yenye mines all over the country inahitaji ur expertise in drilling? U r a fool my friend! Hivi unajua kuna kampuni ya serikali inafanya oil exploration! Hivi kuna nchi drilling machines on the ground kuliko Tanzania hapa East Africa?
Hii post wanairuka
 
Hii post wanairuka
Kuchimba mafuta ina utofauti mkubwa na kuchimba mvuke. Huo mvuke lazima uwe makini nao kwani huwa inatoka na presha ya kufa mtu na temperature ni zaidi ya 200 degree celcius. Lazima mvuke huo ujengewe kidude cha kuidhibiti ili maafa yasitokee. Geza Ulole
 
Nilifikiri utasema 1700MW kumbe bure kabisa...Nchi ya watu 60million na umeme mdogo hivo? How do you guys survive?
Sina ya mwaka huu,
Mwaka jana mwanzoni tulikuwa 1600 sasa wewe unavyoleta za 2016 ili utimize lengo lako la chuki unakuwa na maana gani?
Yaani unaenda kabisa Google search halafu unatafuta data za 2016 ili uje kuwafurahisha wajinga wenzako 😂😂😂 fool.
60
 
Nilifikiri utasema 1700MW kumbe bure kabisa...Nchi ya watu 60million na umeme mdogo hivo? How do you guys survive?

60
Now ushabadilisha gear hewani,
Nimekupa ya mwaka jana mwanzoni sasa hivi itakuwa imeongezeka maana Kuna miradi mingine ilikuwa inaendelea,
Nyie na huo umeme wote mbona umeme ni ghali na wa shida?
 
Good for you, Sasa nitajie hizo equipments ambazo ziko related na geothermal power ambazo Kenya mnazitengeneza na kuwauzia wa Ethiopia.
Acheni majungu bana, hamna nchi nyingine ya Afrika ambayo ipo ndani ya Top 10 duniani kwenye orodha ya installed capacity ya Geothermal Power isipokuwa Kenya.
TGE_GlobalGeothermal_July2019_updated-1024x710.png
Tena geothermal power ni green energy, clean energy ambayo pia huwa inazalisha umeme mwingi kwa gharama ndogo. KenGen ambayo ni kampuni ya GOK tayari ina project mbili Ethiopia, za kuchimba visima 32! Tena hivi majuzi wamefanikiwa kujishindia tender nyingine ya kuchimba visima 8 Uganda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchimba mafuta ina utofauti mkubwa na kuchimba mvuke. Huo mvuke lazima uwe makini nao kwani huwa inatoka na presha ya kufa mtu na temperature ni zaidi ya 200 degree celcius. Lazima mvuke huo ujengewe kidude cha kuidhibiti ili maafa yasitokee. Geza Ulole
So tz hawawezi fanya hivyo?
 
Good for you, Sasa nitajie hizo equipments ambazo ziko related na geothermal power ambazo Kenya mnazitengeneza na kuwauzia wa Ethiopia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza kwa kupuuzilia mbali habari hizi, utahamisha goal posts hadi uchoke. KenGen wanatengeneza Geothermal Wellhead Generator Units. Teknolojia ambayo waliibuka nayo na wao ndio pioneers. Hii ilikuwa ni mwaka wa 2010. Teknologia ya Wellhead Generators waliibuka nayo wakijaribu kupunguza matumizi ya diesel 'on site'. Ambapo kisima cha kwanza cha kawi ya jotoardhi, ambacho hakijakamilika, huwa wanakitumiwa ku'power' drilling ya kisima cha pili. Wakitumia Wellhead Generator Unit, mwaka wa 2015 walifanikiwa kutengeneza Mobile Wellhead Generators, ambazo wanaweza wakazihamisha hadi kwenye mradi mwingine.
 
Now ushabadilisha gear hewani,
Nimekupa ya mwaka jana mwanzoni sasa hivi itakuwa imeongezeka maana Kuna miradi mingine ilikuwa inaendelea,
Nyie na huo umeme wote mbona umeme ni ghali na wa shida?
My point still remains mpo na 1350MW on the ground.
 
Kwa hili la jotoardhi yaani hata SA, Nigeria na Misri hakuna mwenye jeuri dhidi yetu, Afrika yote inapata darasa. Hivi Tz mna hata kitu kimoja mnachoweza kuchangia popote, iwe vya kutumia nguvu kama michezo au vya ubongo kama hili na kawi.
Mziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka kwa kina nani hayo mafunzo?
Kutoka kwetu ndugu zenu au mkipenda muende kwa wazungu. Hamna Watu weusi wengine duniani wanaoweza kuwapa haya mafunzo isipokuwa sisi. Pengine mkimbilie wazungu kama Wajapani au Wamarekani.
 
Back
Top Bottom