Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

“But in the meantime we are selling expertise and equipment to Ethiopia"

Mnauza equipment gani? Kama ata electricity meters na transformers mnanunua kutoka China. Hivi watu kuja kuangalia mradi ndiyo mnajiona magwiji? Tukianza kuanzisha nyuzi kisa nchi fulani imekuja Tz kuangalia mradi tutajaza servers za JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha utoto. Afrika nzima hamna nchi yoyote inayozalisha kawi kutumia geothermal isipokuwa Kenya. Ukweli unauma.
 
Acheni majungu bana, hamna nchi nyingine ya Afrika ambayo ipo ndani ya Top 10 duniani kwenye orodha ya installed capacity ya Geothermal Power isipokuwa Kenya.
TGE_GlobalGeothermal_July2019_updated-1024x710.png
Tena geothermal power ni green energy, clean energy ambayo pia huwa inazalisha umeme mwingi kwa gharama ndogo. KenGen ambayo ni kampuni ya GOK tayari ina project mbili Ethiopia, za kuchimba visima 32! Tena hivi majuzi wamefanikiwa kujishindia tender nyingine ya kuchimba visima 8 Uganda.
Elimu ya Geothermal haihitajiki Tanzania, Hakuna geothermal, Lakini mkitaka ma engineer wa Gesi, na wataalam wa Natural Gas Electricity plants wapo bongo na wengine washaatumwa Urusi,Mozambique na middle east
 
Kwa hili la jotoardhi yaani hata SA, Nigeria na Misri hakuna mwenye jeuri dhidi yetu, Afrika yote inapata darasa. Hivi Tz mna hata kitu kimoja mnachoweza kuchangia popote, iwe vya kutumia nguvu kama michezo au vya ubongo kama hili na kawi.


Kawi ya upepo, jua na maji vipo kibao kwanini tuhangaike kuchimba ardhini kama tunachimba choo cha shimo.!!🤣
 
Wacha utoto. Afrika nzima hamna nchi yoyote inayozalisha kawi kutumia geothermal isipokuwa Kenya. Ukweli unauma.

Dah lakini kwa hili, tumeikamata Afrika yaani.
 
Dah lakini kwa hili, tumeikamata Afrika yaani.
Infact tulianza in the late 70s with the help of Japan. Geothermal haitumiki Afrika kwani ni expensive to drill. Halafu tatizo ni kuwa unaweza tumia pesa nyingi kudrill kisha ukakosa kupata mvuke wenye nguvu ya kutosha. Bahati yetu ni kuwa Naivasha ina mvuke wenye nguvu ya kutosha. Expertise yenyewe tulipata kutoka Japanese engineers. Kitu ya kushangaza ni eti baada ya mwalimu kufunza mwanafunzi, mwanafunzi amemzidi mwalimu kimasomo. Sasa hivi Kenya inagenerate more geothermal power than Japan even though Japan taught us how to do it.
 
Ili angalu mpate umeme wa viwonder na bullet train.


Stiegler inatosha, 2000 MW or so., tuchimbe mahandaki ya thermal power ya nini??--- labda hapo baadaye say in 2060, the time of our grandchildren.
 
Hivi nyie simlikuja kujifunza BRT!
Napata raha sana jinsi Kenya inatoa darasa kwa mataifa yote, akili kubwa, kainchi kadogo na asilimia kubwa ni kame tupu, lakini tutaongoza mpaka basi.
Tatizo kwenu ni nyie CCM, siku mtaacha kushikilia akili za Watanzania, ndio nchi itajikomboa kutok kwa umaskini na elimu mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stiegler inatosha,2000 MW or so.,tuchimbe mahandaki ya thermal power ya nini?? labda baadaye say in 2060, the time of our grandchildren.
Kawi ya upepo,jua na maji vipo kibao kwanini tuhangaike kuchimba ardhini kama tunachimba choo cha shimo.
Elimu ya Geothermal haihitajiki Tanzania, Hakuna geothermal, wataalam wa Natural Gas Electricity plants wapo bongo na wengine washaatumwa Urusi,Mozambique na middle east
Nimeelewa kwanini wenzenu huwa wanawaita mazero brain. Yaani mpo mpo tu huko vijijini vyenu mkiimba mapambio ya chama, hamna ufahamu wowote wa kinachoendelea ndani ya nchi yenu. Bofyeni hii link muone azimio lenu la 2018, la kupata 200MW ya kawi ya jotoardhi kabla ya 2025. Mkianza na Ziwa Ngozi kule Mbeya.
 
Elimu ya Geothermal haihitajiki Tanzania, Hakuna geothermal, Lakini mkitaka ma engineer wa Gesi, na wataalam wa Natural Gas Electricity plants wapo bongo na wengine washaatumwa Urusi,Mozambique na middle east
Tanzania ina geothermal reserves kubwa kuliko Kenya in total over 20000 MW lying underground! Tatizo ni gharama ya teknolojia haina multiplying effect to the economy ndo maana ndo JPM jaweka kando!

Kuanzia mitambo mpaka uchimbaji wa visima vya joto ardhi zimechimbwa na expertriates ndo maana KenGen inaendelea kula hasara ikilipa madeni na capacity charges kwa likes of mitsubishi!
 
Tanzania ina geothermal reserves kubwa kuliko Kenya in total over 20000 MW lying underground! Tatizo ni gharama ya teknolojia haina multiplying effect to the economy ndo maana ndo JPM jaweka kando!

Kuanzia mitambo mpaka uchimbaji wa visima vya joto ardhi zimechimbwa na expertriates ndo maana KenGen inaendelea kula hasara ikilipa madeni na capacity charges kwa likes of mitsubishi!
 
hatuwezi kuwapa mradi wala rushwa! Utaniambia kama mradi wa Geothermal Tanzania atapewa Mkenya! Any elements of Kunyans? 👇

TANZANIA: Ngozi geothermal power plant construction to start in 2021
By Jean Marie Takouleu - Published on April 30 2019 / Modified on September 29 2019


TANZANIA: Ngozi geothermal power plant construction to start in 2021© Flystock/Shutterstock

The director of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC), Kato Kabaka, recently announced to members of Tanzania's Parliamentary Committee on Energy and Minerals that construction of the Ngozi geothermal power plant would begin in 2021.

New developments on Ngozi’s geothermal project. The construction of the plant, located in the Mbeya region of western Tanzania, will begin in 2021. The director of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC), Kato Kabaka, recently spoke out in this regard at a workshop for members of the Tanzania Parliamentary Committee on Energy and Minerals.

“The government is currently finalising the process of amending the law that will facilitate the development of geothermal energy in the country,” said Kato Kabaka. He added that the authorities have already invested more than 20 billion Tanzanian shillings (US$8.7 million) in the construction project for the Ngozi geothermal power plant. This investment was used to acquire drills for the installation of geothermal wells on the project site.

A total investment of $821 million
Kato Kabaka also pointed out that the Tanzanian government plans to develop seven geothermal projects between 2021 and 2025. They will be located in Songwe and Luhoi in the lower Rufiji River, as well as in Kiejo-and Mbaka, in Lake Natron in the heart of the Mbeya region. Once completed, the plants will produce 200 MW.

Regarding the Ngozi project, the government plans to inject $821 million to develop it. It will produce 600 MW. To date, 50 sites have been identified as having sufficient potential for the first phase of the project. The aim is to produce 200 MW, then 400 MW in Phase II. The latter also includes the construction of an 18 km transmission line between Ngozi and Mwakibete, also in the Mbeya region.

Exploration of the Ngozi geothermal project is still ongoing. This phase of the project was funded to the tune of $21.7 million by the Climate Investment Fund (CIF). This support is part of the CIF’s Renewable Energy Expansion Programme (REEP). Included in this budget envelope: $5 million represents a $16.73 million loan from the African Development Bank (AfDB).

Jean Marie Takouleu


MY TAKE
Ikitokea kampuni ya Kenya inapewa tender Tanzania i will start a compaign for disqualification! U guess u know me! Ubabaishaji wenu bakisheni hukohuko Kunyaland!
 
Acha kulialia, umeisoma vizuri hiyo taarifa? Hivi majuzi delegation ya nchi nane ukanda huu, ikiwemo Tz, zilikuwa pale Olkaria, Naivasha wakizungumza na KenGen kuhusu miradi ya kawi ya jotoardhi kwenye nchi zao. Nchi zote kwenye bonde la ufa zina potential ya geothermal, ila hamna nchi yeyote ambayo ina ubavu wa kufikia level ya Kenya. Sio kwa installed capaciy, ujuzi wala vifaa. Azma yenu ya 2018 ilikuwa ni mfikie 5MW kabla ya 2020, 20MW-2022 kisha 200MW kabla ya 2025. Tupe mrejesho mzee Geza Ulole tayari tupo 2020.
 
Back
Top Bottom