The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Yeereeeeeh!
Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani.
Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja.
Sasa hivi wanamtumia Rais wa Uturuki kichinichini Erdowan ambaye anang'aka sana dhidi ya Israel.
Rais wa Uturuki anataka Gaza na West Bank iwe chini ya uturuki kwa muda.