Unamtenganishaje Trump, Rais kupitia Republican na biàshara ya Silaha ?
Hivi unaijua sera ya Republican kuhusu silaha?
Hivi unajua ni kwa kiasi gani Democrats wanepambana ku-intriduce sera ya Gun control bila mafanikio!
Utu ni jambo muhimu na la kwanza.
Hata sisi licha badala ya kupambana na ufisadi wa Magufuli, walikuwa walupambania zaidi Utu, Uhuru na Ubinadamu mambo mengine baadaye
Hizi ni hisia zako tu, probably.
Ukweli ni kwamba uwezo wa HAMAS bado ni mdogo lakini wanataka vita. Na huwa wanatumia muda mrefu sana kujipanga.
Sasa hivi wameishiwa moroketi yote. Wamerusha zaidi ya maroketi 4,000 yameisha.
Hawana cha kufanya tena ndio maana sasa hivi wamefurahi vita imesitishwa.
Lakini wanajipanga tena, baada ya miaka kama 4 au zaidi wakishaona wako loaded lazima tena walianzishe.