Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

Natakani sana nione hiyo battle Israel vs Turkey
Kadhia ya Wapalestina (Ndugu zetu),suluhu yake ni ndogo sana.

Ama kuhusu mataifa ya Kiarabu,mtoa mada alitakiwa ayaainishe,ila kwa Saudia nina uhakika amekaa kimya iwa sababu za kidini.

Lakini swali la kuuliza,hawa wanao jiita Waisraeli kwanini wanavamia sehemu ambayo si yao ? Lakini ahadi imeshachukuliwa katika Zaburi.

Ama tukiwazungumzia Mayahudi/Wayahudi ambao wamelaaniwa,hakitosimama Kiyama mpaka wapigane vita na sisi Waislamu,na huo ndiyo utakuwa mwisho wao.

Sasa hiki chana cha Uzayuni,ni kundi la Wahuni tu ambao hawaingii kwa nasaba zaidi ya mikakati ya uvamizi na uhuni.

Zingatia : Nimeandika nukta zaidi ya moja tofauti katika mchango wangu huu.
 
Unamtenganishaje Trump, Rais kupitia Republican na biàshara ya Silaha ?

Hivi unaijua sera ya Republican kuhusu silaha?

Hivi unajua ni kwa kiasi gani Democrats wanepambana ku-intriduce sera ya Gun control bila mafanikio!

Utu ni jambo muhimu na la kwanza.
Hata sisi licha badala ya kupambana na ufisadi wa Magufuli, walikuwa walupambania zaidi Utu, Uhuru na Ubinadamu mambo mengine baadaye

Hizi ni hisia zako tu, probably.

Ukweli ni kwamba uwezo wa HAMAS bado ni mdogo lakini wanataka vita. Na huwa wanatumia muda mrefu sana kujipanga.

Sasa hivi wameishiwa moroketi yote. Wamerusha zaidi ya maroketi 4,000 yameisha.

Hawana cha kufanya tena ndio maana sasa hivi wamefurahi vita imesitishwa.

Lakini wanajipanga tena, baada ya miaka kama 4 au zaidi wakishaona wako loaded lazima tena walianzishe.
Na sasa hivi watakuja na more softcated missile, taratibu tu kutoka kutosha mawe hadi kutosha maroketi sio swala dogo ,hata isra kama si backup ya USA wangekuwa wameishiwa kuwa na stocking ya interceptor missile zaidi ya 4000 sio mchenzo
 
Israel ni taifa lenye watu hata elfu tano hawafiki ila wanajambisha dunia nzima. Yaani wanafunzi wa mbagala rangi 3 primary ni wengi kuliko wananchi wa Israel ila kichapo chao dunia inatikisika.
Do hebu Rudi ulichokiandika acha mhemko
 
Israel anaweza kufuta kiumbe chote kinachoitwa mwarabu na viumbe vyote vinavyo associate na mwarabu kwenye uso wa dunia...
 
Na sasa hivi watakuja na more softcated missile, taratibu tu kutoka kutosha mawe hadi kutosha maroketi sio swala dogo ,hata isra kama si backup ya USA wangekuwa wameishiwa kuwa na stocking ya interceptor missile zaidi ya 4000 sio mchenzo
Kila mmoja anapiga hatua. Hata hao Israel wameshaona udhaifu kwenye mifumo yao, wanaziba.

Unapossma Israel wana support ya US ni kweli, hata Hamas hawako peke yao. Kuna mataifa ya kiarabu yanawapa nguvu ya silaha kwa uwazi na kisirisiri ikiwemo Iran.
 
Hivi hawa hamas ni wapalestina kweli na wanapigana kwa.maslahi ya wapalestina, ama ni waarabu waliojipenyeza ndani ya palestina kwa ajili ya maslahi yao? Kama ni wapalestina kwanini hawamuungi mkono Rais wa palestina Mahmoud Abass? Naomba kueleweshwa..
 
Na kama lengo la wa wapalestina ni kutaka Yerusalem mashariki iwe mji mkuu wao na huku Israel hataki kuona Yerusalem ikigawanywa.. Bila shaka hii vita haitaisha kamwe..
 
Hivi hawa hamas ni wapalestina kweli na wanapigana kwa.maslahi ya wapalestina, ama ni waarabu waliojipenyeza ndani ya palestina kwa ajili ya maslahi yao? Kama ni wapalestina kwanini hawamuungi mkono Rais wa palestina Mahmoud Abass? Naomba kueleweshwa..
Ahmas hawamuungi mkono rais wa Palestine kwa kuwa huyo Mahmoud Abbas ni kibaraka wa US na Israel. Ana umri mkubwa sana na hafanyi kitu cha maana.

Chairman wa Hamas ndio alichaguliwa na Wapalestina kuwa Waziri Mkuu mwaka 2006. Yeye ndio mwenye msimamo mkali na walishindwana na Abbas kwa vile Marekani na Israel zilimkataa na kushinikiza atoke. Hata Misri ilimpinga kwa vile aliwahi kuwa mwanachama wa Muslim Brotherhood kipindi anasoma chuo kule Gaza kwenye kambi ya wakimbizi alikozaliwa.

Wapalestina wanaikubali Hamas ila vyombo vya habari huwa vinaiita kundi la kigaidii. Hamas ni chama kama ilivyo Fatah, ila Fatah ni wapole na wanaendeshwa na fedha za michango ya Israel.

Mfumo wa Hamas ni kama Hezbollah kwani viongozi wa Hamas wa mwanzo waliwahi ishi Lebanon uhamishoni. Hamas ina military wing inaitwa Ezedeen al Qassam ndio inapigana, kuchimba maandaki, kufanya organization ya stabbing kwa visu, kutusha roketi, kuvizia wanajeshi wa Israel mpakani.

Ukiitisha uchaguzi wa haki Wapalestina watamchagua mwenyekiti wa Hamas kuwa rais wao. Juzi msikiti wa al Aqsa ulipofunguliwa raia waliimba nyimbo za kuishukuru al Qassam brigade.

Nyongeza.
Kiongozi wa Hamas siku chache zilizopita aliwashukuru waziwazi Iran hasa ile Quds Forces kuwasaidia katika mapigano yao.
 
Israel ni taifa lenye watu hata elfu tano hawafiki ila wanajambisha dunia nzima. Yaani wanafunzi wa mbagala rangi 3 primary ni wengi kuliko wananchi wa Israel ila kichapo chao dunia inatikisika.
Hata boko haramu ata elf1 hawafiki ila wanafanya unyama dunia nzima kwa sababu wanamiliki silaha
Usione kwakua wanaangusha majumba ya wapalestina ambao jeshi lao haliko stable ukaona inaweza kuisumbua nchi kama Lebanon, kumbuka kilichowapata 2006 mpka kupelekea waziri wa Israel kujiuzulu
 
Kila mmoja anapiga hatua. Hata hao Israel wameshaona udhaifu kwenye mifumo yao, wanaziba.

Unapossma Israel wana support ya US ni kweli, hata Hamas hawako peke yao. Kuna mataifa ya kiarabu yanawapa nguvu ya silaha kwa uwazi na kisirisiri ikiwemo Iran.
Dah hili tuliseme Mara ngapi? Jamani nimeamua nirudie wairan Ni race inayojitegemea Kama walivyo waturuki, waisrael na waarabu .
Na si waarabu Kama wanaJf wengi wanavyojichanganya kila siku.
 
Niweke hapo nyuma kwenye m.k.u.n.d.u wako uone shughuli yangu.
Sawa mkuu . Lakini hili haitafanya tusahau kukueleza wazi kwamba we ni zero brain. Huna chochote katika hifadhi ya ubongo zaidi ya stori za kahawani na pia njia ya kuekekea uwani kuharisha
 
Sawa mkuu . Lakini hili haitafanya tusahau kukueleza wazi kwamba we ni zero brain. Huna chochote katika hifadhi ya ubongo zaidi ya stori za kahawani na pia njia ya kuekekea uwani kuharisha
Wewe taahira mbona unatumia nguvu nyingi kubishana na watu. Mind your own business au unawashwa huko nyuma? Jf kuna nyuzi nyingi za kuchangia, nyingine achana nazo sio saizi yako. Mtu akitumia lugha ya picha na wewe ni kilaza huwezi kusoma btn the line kaa pembeni. Ila kama ni shoga nakukaribisha pm.
 
Hizo takwimu nimeweka kuonyesha msisitizo kuwa kanchi kadogo kanawajambisha waarabu wote. Elfu tano ni lugha tu ya msisitizo sio kweli wapo elfu tano ila ni wachache kulinganisha na mataifa mengine..great thinkers tuwe tunaelewa lugha za msisitizo.
Kheeee
 
Wewe taahira mbona unatumia nguvu nyingi kubishana na watu. Mind your own business au unawashwa huko nyuma? Jf kuna nyuzi nyingi za kuchangia, nyingine achana nazo sio saizi yako. Mtu akitumia lugha ya picha na wewe ni kilaza huwezi kusoma btn the line kaa pembeni. Ila kama ni shoga nakukaribisha pm.
Umepanik br.
Haina haja matusi mazitomazito boss
 
Back
Top Bottom