The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mungu wangu. Marekani wamei Aliza Taliban? Hii Ni miujiza. Nenda Google Leo fuatilia majimbo ya Afghanistan I yaliyo chini ya Taliban halafu rudiMgogoro wa Palestina na Wa Isarel wa safari hii ulikuwa na mambo mengi zaid ya Makombora ya Hamas na Vifaru vya Israel
1.Jiulize, kwanini Miaka yote minne ya Donald Trump Hamas 'hawakuwachokoza' Israel?, Donald Trump hafanyi biashara ya Silaha wala si rafiki wa Wauza Silaha
2. Mgogoro wa Safari hii umepoza Mgogoro wa Kisiasa uliokuwa ndani ya Israel uliopelekea hata Benjamin Netanyahu kuchelewa kuunda Serikal ikiwa ni pamoja na kashfa lake la Rushwa
3. Mgogoro huu ulipangwa kuwa frustrate ma Ayatollah wa Iran watoe lugha kali ili kuzidisha Mgogoro uliopo baina ya Iran na US na kuitia hofu Jumuia ya Ulaya ijitoe kwny mazungumzo ya Iran na warudishe Vikwazo ili Iran izidi kudhoofika na hatimae NATO iingie kuipasua…hii target ime fail
4.Marekan inaweza kupeleka Mashushu wake na kuisambaratisha Hamas ndani ya Mwaka mmoja lakin inapenda kuendelea kuitumia kwa Maslah yake, kama imeweza kuisambaratisha Taleban na Alqaeda kweli ishindwe kwa Hamas,
Hamas na Islamic State ni vikundi vinavyofadhiliwa na US kwa kificho kwa malengo maalum, mf. IS wametumika Mozambique kuwa frustrate Wafaransa kwny deal ya Gesi na Mafuta hadi wamekimbia
Bila shAka huu Ni uongo mkuu. Unajua kwanini waturuki hawana uhusiano wa kupigA stori na waarabu. Pili Iran haijaacha kutoa sapoti kwa PalestineYeereeeeeh!
Mataifa ya kiarabu pamoja na Iran yamejitetea na kudai kukaa kwao kimya kwenye mzozo kati ya Israel na Hamas ni kwasababu wanataka amani itamalaki duniani.
Wanasema laiti wangeingilia kati sasa hivi kusingekalika na kuchimbika na Israel kufutika mara moja.
Sasa hivi wanamtumia Rais wa Uturuki kichinichini Erdowan ambaye anang'aka sana dhidi ya Israel.
Rais wa Uturuki anataka Gaza na West Bank iwe chini ya uturuki kwa muda.
Mungu wangu. Marekani wamei Aliza Taliban? Hii Ni miujiza. Nenda Google Leo fuatilia majimbo ya Afghanistan I yaliyo chini ya Taliban halafu rudi
Ah sawa. Unapoamua kunegotiate na adui hasa kundi Kama Taliban hua kabisa umeshindwa kumaliza lengo kuu la vitaUngepaswa kuniuliza kuimaliza vipi?
Jiulize Taliban ya kabla ya 2001 ndio Taleban hii ya 2021 kiitikadi?
Taleban ya kina kina Mulla zaif ilikuwa inakaa kwny meza ya Mazungumzo?
Taleban sasa hivi ni kikundi kama cha M23 ambacho ni kitisho ndan ya Congo mashariki pekee
Taliban ya sasa hivi ni turufu ya Marekan ndan ya Afghanistan ambayo inaifanya Utawala wa Afghanistan kuwa submissive kwa Washington kwa kuwa wasipokuwa kuwa hivyo Taleban watachukua madaraka yao, Taleban imepoa na imeingia kwny Payrol ya Pentagon ndio sababu Majeshi ya US yanarudi Nyumban
Afghanistan ya sasa ni tulivu sana kwa US na sio tena Kitalu cha 'Siasa kali' zilzokuwa zinalelewa na Taleban na ndio sababu nikaeleza kuwa Taleban wamemalizwa
Kwa nini waislamu tu ndio wakubali kutumiwa duniani siku zote kwa malengo ya kigaidi??Mgogoro wa Palestina na Wa Isarel wa safari hii ulikuwa na mambo mengi zaid ya Makombora ya Hamas na Vifaru vya Israel
1.Jiulize, kwanini Miaka yote minne ya Donald Trump Hamas 'hawakuwachokoza' Israel?, Donald Trump hafanyi biashara ya Silaha wala si rafiki wa Wauza Silaha
2. Mgogoro wa Safari hii umepoza Mgogoro wa Kisiasa uliokuwa ndani ya Israel uliopelekea hata Benjamin Netanyahu kuchelewa kuunda Serikal ikiwa ni pamoja na kashfa lake la Rushwa
3. Mgogoro huu ulipangwa kuwa frustrate ma Ayatollah wa Iran watoe lugha kali ili kuzidisha Mgogoro uliopo baina ya Iran na US na kuitia hofu Jumuia ya Ulaya ijitoe kwny mazungumzo ya Iran na warudishe Vikwazo ili Iran izidi kudhoofika na hatimae NATO iingie kuipasua…hii target ime fail
4.Marekan inaweza kupeleka Mashushu wake na kuisambaratisha Hamas ndani ya Mwaka mmoja lakin inapenda kuendelea kuitumia kwa Maslah yake, kama imeweza kuisambaratisha Taleban na Alqaeda kweli ishindwe kwa Hamas,
Hamas na Islamic State ni vikundi vinavyofadhiliwa na US kwa kificho kwa malengo maalum, mf. IS wametumika Mozambique kuwa frustrate Wafaransa kwny deal ya Gesi na Mafuta hadi wamekimbia
Jibu ni rahisi sana , Matendo hayo hayo yakifanywa na wasio waislam hawaitwi MagaidiKwa nini waislamu tu ndio wakubali kutumiwa duniani siku zote kwa malengo ya kigaidi??
Kinachoandikwa google hakiandikwi na malaika mkuu, ni kikundi cha watu kama wewe wanaweza kuchapisha chochote kwa maslahi yao binafsi, google sio kila kitu.Mungu wangu. Marekani wamei Aliza Taliban? Hii Ni miujiza. Nenda Google Leo fuatilia majimbo ya Afghanistan I yaliyo chini ya Taliban halafu rudi
Mulla zaif au Mullar Omar kijichoUngepaswa kuniuliza kuimaliza vipi?
Jiulize Taliban ya kabla ya 2001 ndio Taleban hii ya 2021 kiitikadi?
Taleban ya kina kina Mulla zaif ilikuwa inakaa kwny meza ya Mazungumzo?
Taleban sasa hivi ni kikundi kama cha M23 ambacho ni kitisho ndan ya Congo mashariki pekee
Taliban ya sasa hivi ni turufu ya Marekan ndan ya Afghanistan ambayo inaifanya Utawala wa Afghanistan kuwa submissive kwa Washington kwa kuwa wasipokuwa kuwa hivyo Taleban watachukua madaraka yao, Taleban imepoa na imeingia kwny Payrol ya Pentagon ndio sababu Majeshi ya US yanarudi Nyumban
Afghanistan ya sasa ni tulivu sana kwa US na sio tena Kitalu cha 'Siasa kali' zilzokuwa zinalelewa na Taleban na ndio sababu nikaeleza kuwa Taleban wamemalizwa
Mulla zaif au Mullar Omar kijicho
Unamtenganishaje Trump, Rais kupitia Republican na biàshara ya Silaha ?1.Jiulize, kwanini Miaka yote minne ya Donald Trump Hamas 'hawakuwachokoza' Israel?, Donald Trump hafanyi biashara ya Silaha wala si rafiki wa Wauza Silaha
Utu ni jambo muhimu na la kwanza.2. Mgogoro wa Safari hii umepoza Mgogoro wa Kisiasa uliokuwa ndani ya Israel uliopelekea hata Benjamin Netanyahu kuchelewa kuunda Serikal ikiwa ni pamoja na kashfa lake la Rushwa
Hizi ni hisia zako tu, probably.3. Mgogoro huu ulipangwa kuwa frustrate ma Ayatollah wa Iran watoe lugha kali ili kuzidisha Mgogoro uliopo baina ya Iran na US na kuitia hofu Jumuia ya Ulaya ijitoe kwny mazungumzo ya Iran na warudishe Vikwazo ili Iran izidi kudhoofika na hatimae NATO iingie kuipasua…hii target ime fail
Ukweli ni kwamba uwezo wa HAMAS bado ni mdogo lakini wanataka vita. Na huwa wanatumia muda mrefu sana kujipanga.4.Marekan inaweza kupeleka Mashushu wake na kuisambaratisha Hamas ndani ya Mwaka mmoja lakin inapenda kuendelea kuitumia kwa Maslah yake, kama imeweza kuisambaratisha Taleban na Alqaeda kweli ishindwe kwa Hamas,
Hamas na Islamic State ni vikundi vinavyofadhiliwa na US kwa kificho kwa malengo maalum, mf. IS wametumika Mozambique kuwa frustrate Wafaransa kwny deal ya Gesi na Mafuta hadi wamekimbia
Donald Trump hakufanya biashara ya silaha na Taliban kusambaratishwa una uhakika?
Ohhh kumbe.. Basi jifunze Sasa kuamini au either usome pengine popote.. Ila kikubwa jua karibu nusu ya mikoa ya Afghanistan iko chini y wataliban.Kinachoandikwa google hakiandikwi na malaika mkuu, ni kikundi cha watu kama wewe wanaweza kuchapisha chochote kwa maslahi yao binafsi, google sio kila kitu.
Soma hiyo baba hiyo Ni 18.. mpaka 21 walishachukua majimbo mawili mengine.Kinachoandikwa google hakiandikwi na malaika mkuu, ni kikundi cha watu kama wewe wanaweza kuchapisha chochote kwa maslahi yao binafsi, google sio kila kitu.