Mataifa ya kiarabu yadai wao kukaa kimya imesaidia dunia kuwa na amani

Sasa hivi wanamtumia Rais wa Uturuki kichinichini Erdowan ambaye anang'aka sana dhidi ya Israel.

Rais wa Uturuki anataka Gaza na West Bank iwe chini ya uturuki kwa muda.
Tafuta "Gaza flotilla raid" kisha soma.

Uturuki ni moja kati ya nchi zinazowapa silaha na pesa wazalendo wa Hamas.
 
nakusoma vizuri kabisaaa
heko mkuu kwa udadavuzi ulioenda shuleee
 
Kuna kitu huelewi hapa, hawa magaidi niya yao ni kutimiza malengo ya kidini kwani huwezi kuwakuta eti wakipigania maslahi ya watu wa imani mbalimbali wanaodhulumiwa na watawala.
 
Isije ikawa Hamas ni sehemu ya IDF nje Israel 😁😁😁😂 walisikika jamaa fulani hivi mitaa ya Tehran.
Tukijiingiza hapo hatutoki.... (Mtego)
 
Kuna kitu huelewi hapa, hawa magaidi niya yao ni kutimiza malengo ya kidini kwani huwezi kuwakuta eti wakipigania maslahi ya watu wa imani mbalimbali wanaodhulumiwa na watawala.
Kwani hao wazayuni unavyofikiri wewe wanachokipigania ni nini kama si dini yao, hivi wewe utambui ya kuwa wao ilibidi waletwe uganda lkn kutokana na imani yao wamegoma na kudai kuwa pale ndio kwao? Hoja ni ile ile, akifanya mpalestina gaidi ila akifanya muisrael anatetea nchi yake
 
Israel ni taifa lenye watu hata elfu tano hawafiki ila wanajambisha dunia nzima. Yaani wanafunzi wa mbagala rangi 3 primary ni wengi kuliko wananchi wa Israel ila kichapo chao dunia inatikisika.
Hivi jf umekujaje kwa ubongo dhaifu Kama huu? Unaambiwa jf Ni makazi ya great thinkers we twakuweka wapi?
 
Uturuki akiingiza pua pale Israel wanae tena nasema wanae. Atapigwa nuclear bomb moja kuusambaratisha ule mji wake mkuu Ankara au instanbul
 
Hiyo point namba 4, kasome tena kama marekani kaimaliza taleban au yeye ndio imemshinda
 
Israel ni taifa lenye watu hata elfu tano hawafiki ila wanajambisha dunia nzima. Yaani wanafunzi wa mbagala rangi 3 primary ni wengi kuliko wananchi wa Israel ila kichapo chao dunia inatikisika.
Hizi takwimu zako umezitoa wapi? Kwenye vijiwe vya kahawa?
 
Hizi takwimu zako umezitoa wapi? Kwenye vijiwe vya kahawa?
Hizo takwimu nimeweka kuonyesha msisitizo kuwa kanchi kadogo kanawajambisha waarabu wote. Elfu tano ni lugha tu ya msisitizo sio kweli wapo elfu tano ila ni wachache kulinganisha na mataifa mengine..great thinkers tuwe tunaelewa lugha za msisitizo.
 
Unajua kwanini hizo harakati unazoita za 'Kigaidi' zimeanza mwanzoni mwa miaka ya 1990s wakati Dini yao ipo kwa karne kadhaa?

Kwanini hao Magaidi target yao sio Vatican, sio Japan sio South Korea n.k? Kwanini Adui zao ni wale wenye historia ya kuvamia Maeneo yote ya Dunia kupora na kudhulumu? Haya naswali unahitaji kujiuliza na kupata jibu bila ya kuingia google

Unauliza kwanini hawapiganii watu wengine… kila mtu kila kikundi huwa kinapigania haki zake kwanza kabla ya kupigania za wengine, soma Black America Movement, soma Apartheid movement ya South halaf uniambie wakati wanapigania haki zao maeneo mengine yalikuwa hayana uonevu?

Wale wengi ni Waislam na Uislam kwao ni dini, utamaduni, mazingira n.k kama ilivyo kwetu uafrica na Muafrica mwenzetu akionewa kwa Uafrica wake lazima tutumie Uafrica kumtetea!
Kuna kitu huelewi hapa, hawa magaidi niya yao ni kutimiza malengo ya kidini kwani huwezi kuwakuta eti wakipigania maslahi ya watu wa imani mbalimbali wanaodhulumiwa na watawala.
 
Mimi nikishasoma nafanya analysis na wewe ukishasoma unaandika …hiyo ndio tofauti yangu na yako
Hiyo point namba 4, kasome tena kama marekani kaimaliza taleban au yeye ndio imemshinda
 
Duuuh mkuu umemaliza
 
nilishasema humu.
Siku AMBAYO Israel watashindwa Vita basi ujue na mwisho wa dunia umekaribia.
Acha watambe ili sisi tuendelee kuishi
Kuna watu uwa wanabisha kuhusu ili..ukiona Israel imepigwa, kama we ni muislam shinda msikitini ukiomba toba.
If we ni ni Christians.. Omba bila kukoma..
Itakuwa ni dakika ya 89
 
Kuna kitu huelewi hapa, hawa magaidi niya yao ni kutimiza malengo ya kidini kwani huwezi kuwakuta eti wakipigania maslahi ya watu wa imani mbalimbali wanaodhulumiwa na watawala.
Wanataka kutimiza malengo ya kidini kwa misingi ya kidini au misingi yao wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…