The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 2,359
- 3,445
Tangu Nchi ipate uhuru haijawahi tokea kinachofanywa na POLE POLE kwahyo anachofanya POLE POLE kilitakiwa kiwe Live Hadi vyombo vya habari vyote ni vile tu mnajikuta wababe.
Ila anachotoa pole pole kama mtanzania hutakiwi kumiss hata neno 1 maana haongei porojo, huyo ni kiziwanda kwahyo haongei ya kuambiwa anaongea vya ndani ya FAMILIA kabisa.
Lazima tumsikilize, nashauri ungeongea na wenzako waache kuzima zima mitandao na ikiwezekana HP akiwa live tuwape link mtusaidie ku BROADCAST kwenye vyombo vyenu vya habari.
Watanzania ambao hawamwelewi pole pole wana Mavi Vichwani mwao, tukianza na mtoa Uzi huu.