Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV đźš®

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
 
Kila baada ya dakika kumi unaanzisha uzi kuhusu Polepole wewe ndiye umeguswa zaidi na press ya HP ndiyo maana hutulii. Polepole amewajambisha mishuzi inawatoka ovyo maccm
 
Ushauri wa bure nenda kamuone daktari.
 
Wewe unann ? Mamaee unakuta una njaa mpaka zimepitiliza makalion
 
Na
Kila baada ya dakika kumi unaanzisha uzi kuhusu Polepole wewe ndiye umeguswa zaidi na press ya HP ndiyo maana hutulii. Polepole amewajambisha mishuzi inawatoka ovyo maccm
washauri muondokane na huu ujinga wa kushinda mnasikiliza upotoshaji badala mtafute fursa
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV đźš®

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Wao wameshapita huko kitambo hawana longolongo za uchaguzi tena, sisi ni balaa
 
CCM mumeharibu mfumo WA elimu kwa watoto wetu Sasa hizo scholarship na network za biashara zitafanywa vipi..... Jibuni hoja kwa hoja enyi waunganisha mifumo
Usku ni muda mzuri wa kuomba scholarship lakini watu wanakesha wanaskiliza UMBEA wa polepole
 
Mnasema Lissu hawasumbui wakati wewe leo umejaza mabandiko kumhusu yeye na kwenye kila bandiko linalomhusu lazima uchangie.

Halafu huko unakosema wanakesha kuvumbua vitu, kwani ni Taifa zima wanakesha? Sasa mamilioni ya vitanda walivyo navyo nani anatumia?
 
Back
Top Bottom