Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kila jambo lina umuhimu wake..
 
Sisi tunamuelewa sana tena sana na tupo tayari kukesha na yeyote mpinga CCM.
 
Na

washauri muondokane na huu ujinga wa kushinda mnasikiliza upotoshaji badala mtafute fursa
Wewe ndiye mpumbavu kabisa kama anayosema Polepole ni ujinga na wewe umekomaa kuyaanzishia nyuzi kumi kidogo humu basi wewe ni juha kabisa kwani kama ni ujinga ungepotezea tu, kuyashikia bango maana yake yamewaathiri vibaya mno, nakushauri ungewaacha wenye akili wafanye damage control tofauti na huu upumbavu unaofanya wewe tangu usiku unahangaika kuanzisha nyuzi hazina kichwa wala miguu. Polepole kapiga kwenye mshono vinginevyo msingelalama hivi.
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kwa nini hayo mema yawe kwa wenzenu. Na si kwenu Wadanganyika ?

Nani anatoa passport, ni CCM Chadema au serikali ya Wadanganyika.

Nani anapokea scholarships kama sio serikali ?

Kwa nini serikali yako haitoi hizo scholarships.

Huoni unaiaibisha serikali?
 
Kwa elimu hii iliyochakachuliwa na Wahuni unadhani utashindana kimataifa? Saiz tunapambana kuujua ukweli na ukweli ukijulikana, baas itapendeza mbele za Mungu na huyo alietufunukia ukweeli atapata baraka mbele za Mungu.
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Ungemuelewa pole pole wala watz hawahtaji kwenda kuomba kaz nje hela ipo hapa hapa. Ila we kilaza unawasaidia vilaza kuiba
 
Ndioo tena kabisa ila niambie kwa heshima
Mimi kama kijana mwenzio ninaejishughulisha na kazi ya saidia fundi naomba ridhaa nikae kweny moyo wako. Naahidi kuutunza kama mboni ya jicho Lang na kukupa tulizo la hisia. Tafadhali nisikilize kijana mwenzio
 
Dah saidia fundi?? Acha utani basi
 
Alafu wewe usiwage fala mia so hicho, watu wanapigana mifumo ibadilike we unaongea mambo ya scholarship ulaya... Mifumo ni mibovu kuna watu walipata scholarship lakini kupata passport ilishindikana, why ? sababu haya majitu ni Mara rushwa na majitu yasio na huruma na watz.. Yan kupata tu passport ya kwenda kwenye hizo scolarship lazima utoe rushwa sasa si bora watu wapambane mifumo ibadilike ili waweze kuomba hizo scolarship kwa amani, siku nyingine ukija kuandika upumbavu hapa chamba kwanza mavi....wapuuzi sana nyingiii.
 
Mnasema Lissu hawasumbui wakati wewe leo umejaza mabandiko kumhusu yeye na kwenye kila bandiko linalomhusu lazima uchangie.

Halafu huko unakosema wanakesha kuvumbua vitu, kwani ni Taifa zima wanakesha? Sasa mamilioni ya vitanda walivyo navyo nani anatumia?
mawazo yako yameishia hapo iliwazi taifa kabisa
 
Mnasema Lissu hawasumbui wakati wewe leo umejaza mabandiko kumhusu yeye na kwenye kila bandiko linalomhusu lazima uchangie.

Halafu huko unakosema wanakesha kuvumbua vitu, kwani ni Taifa zima wanakesha? Sasa mamilioni ya vitanda walivyo navyo nani anatumia?
Mwagito,huyo ni zuzu kamili.Anaweza akavaa pampas na kwenda kunia bila kufungua halafu akainuka kwenda kukaa sebuleni kuangalia Sinema zetu pale Azam Teevee!
 
Back
Top Bottom