Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Utaahira ni CCM nzima kujambishwa na press za polepole.... Wezi wa kura nyieTafuten fursa siyo mnamsikiliza mtu ambaye hajulikani alipo huo ni utahira

Scholarships ngapi mmepata? Fursa za kiuchumi zipi mmeleta zimeajiri watu wangapi?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Huko Lumumba maji yamelowana sio poa mnaharisha huku mnatembeaMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Unataka mtu akuletee ajira wakat ww unashinda unasklilza polepole usku badala muombe scholarship nyny mnatumia bando kuangalia udaku....poor youScholarships ngapi mmepata? Fursa za kiuchumi zipi mmeleta zimeajiri watu wangapi?
Kama zote hizo hamjaleta mjue kabisa kuwa hao wanaokesha kumsikiliza Pole Pole wana hoja!
Kwani lazima wote tuombe hizo sikola...? Omba wewe inatosha sie tuache na chakubanga wetu atupe mifumo ya wizi wenuUsku ni muda mzuri wa kuomba scholarship lakini watu wanakesha wanaskiliza UMBEA wa polepole
Kwani hizo scholarship zilikuwa za Jana tu au hata Leo tunaweza kuombaUnataka mtu akuletee ajira wakat ww unashinda unasklilza polepole usku badala muombe scholarship nyny mnatumia bando kuangalia udaku....poor you
1. Wewe umejuaje kama Polepole kaongea na alichokiongea ni uongo?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Sawa. Endelea kuomba scholarship kisa umeambiwa ukweliHaya endeleeni kuangalia katuni za polepole usku kucha
Tuambie kwanza nani kakutuma?Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Mtoa mada , Matako yako.Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Wewe unayeanzisha nyuzi kila baada ya dakika kumi ndiyo dawa imekuingia uko kama kuku anayetaka kutaga vile na badoNaona sindano inakuingia