Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

Nipo nasoma PhD Canada full sponsorship

Mwalimu unahangaika sana halafu hata kadi ya CCM kumbe haijakusaidia kupata nafasi ya ajira kama mnavyopanua mdomo humu kuwa bi Mwenda kamwaga ajira kedekede?

Kila siku humu unasema bi Mwenda kajenga shule , vyuo vya kutosha sasa kama kuna hivyo vitu watu wana haja gani ya kuomba ufadhili wa masomo ughaibuni na unasema bi Mwenda hana deni na hadaiwi.?

Ninasikitika tu hata kuandika neno la shahada ya pili [Masters] hujui unaandika Master aibu iliyoje.

Kwa uandishi huo mbovu wa kuchanganya herufi kubwa na ndogo katikati ya sentensi hiyo PhD yako itakuwa permanent head damage.

Endelea kupambania 10k alizoongeza Mchengerwa na hizo shilingi za bi Mwenda mnazosema ameongeza huku akishindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kwa elimu hiyo huo labda uwe Canada ya Rufiji.
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
English ni shida uelewe , Hawa jamaa nilivyoona wanabadilisha mtaala nikakuta bado wameacha kiswahili kitumike nikasema hapa hakuna watu wenye Nia ya dhati na watu wa Taifa hili. Wanaija wamesambaa dunia nzima na wakenya Mana Wana confidence ya kupiga sound afande akajiliza pale kwa English kuwa Maisha ni magumu naenda kupambana nipate kubarua hata cha kuchomelea ama kuendesha basi nchini kwenu niachie bana namie ni mwanaume Kama wewe napambana wanangu ama familia yangu ipate kuiona kesho
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Muongo!
Twende nje ili tuwaachie nchi yetu nzuri.
Mbona mama yetu hataki kwenda Oman!?
 
Hayo mataifa unayoyatumia kama reference ni yapi?
Je yana utekaji
Je yana iba kura
Je yana ufisadi na rushwa?
 
Wewe endelea kuangalia katuni za polepole
Katuni Tena, huo ndiyo ukweli. Nilikuwa najiuliza hivi Hawa CCM wanajiamini Nini Hadi wanawaambia vijana wakajiajiri, mara wanawakusanya maelfu ya watanzania wasio na ajira kufanyishwa interview za mchongo huku wakiwa na orodha halisi ya watakaoajiriwa rejea michakato wa ajira za ualimu mwaka huu. Yaani Ma CCM Yana dunda kabisa hayana hata wasi wasi Hadi ikapelekea kukaundwa NETO. kumbe yanajua kura za wananchi hazina maana Tena.
Polepole ashikirie hapo hapo na azidi kutupa elimu hii isiyokuwa na na ada.
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kwanini watafute scholarship ya kwenda nje na wana nchi yao inabagazwa na wahuni wachache?
 
Nchi ina mamilioni ya watu utaweza kweli kuyashughulikia matatizo ya raia wote hao. Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Slowslow amewashika pabaya ,mtasema yote nyie CCM ndio mmetufikisha hapa mama akongea mipasho tu
Sema ccm na polepole ndiyo wamewafilisha hapo na ujinga wenu,yaani hamna kumbukumbu kabisaaa lowasa,mrema,kingunge,sumaye,mbowe,nk wamewachezea michezo hiihii ya polepole bado hamjitambui,nyie Watanzania ni mawe kichwani.
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Press za pole pole hazikuwepo mwaka Jana, anachofanya pole pole ni kuonyesha uovu wa watawala, watu kama hawa hata kama tupo bize kutengeneza nuclear, lazima macho yetu ya we pia kwa, watawala,
Sasa ndio inaamua rasilimali za nchi zitumike vipi,SGR ijengwe kuelekea, wapi, kanda ya, ziwa,kwa vile rais, aliyekuwepo ni Msukuma, au, iende nyanda za juu kusini kwenye mzigo mkubwa! Ngombe wazalishwe Mbeya, kwanza, kagera, kigoma, harafu kiwanda kijengwe Dar! Au, tanga,! Siasa hapo,
 
Polepole anaonyesha udhaifu wetu ulipo

Fullstop, kwishaa
 
Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮

Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Vipi wanaopanda malori kuwasikiliza wanasiasa wa chama kilichokaa madarakani na kila mwaka kina ahadi zile zile
 
Ndio naelewa sasa polepole alisema nchi italipuka na kweli wahuni wamepanic sana post kutwa mara 10 imezid mpaka dawa

Na hapa bado gwajima

Mamaeee tutafutana
 
Back
Top Bottom