Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!