Basi sawaNaenda kuskiliza fursa za chama Cha Mapinduzi
Na sisi tulioko ughaibuni tunaona bora kumsikiliza Polepole kuliko kukaa kusikiliza upuuzi wa bibi wa Kizimkazi.Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Kipi chamaana kaongea au utoto ndio tatizo kwako !!!Tangu Nchi ipate uhuru haijawahi tokea kinachofanywa na POLE POLE kwahyo anachofanya POLE POLE kilitakiwa kiwe Live Hadi vyombo vya habari vyote ni vile tu mnajikuta wababe.
Ila anachotoa pole pole kama mtanzania hutakiwi kumiss hata neno 1 maana haongei porojo, huyo ni kiziwanda kwahyo haongei ya kuambiwa anaongea vya ndani ya FAMILIA kabisa.
Lazima tumsikilize, nashauri ungeongea na wenzako waache kuzima zima mitandao na ikiwezekana HP akiwa live tuwape link mtusaidie ku BROADCAST kwenye vyombo vyenu vya habari.
Watanzania ambao hawamwelewi pole pole wana Mavi Vichwani mwao, tukianza na mtoa Uzi huu.
Tumempenda wenyeweMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
SAWA nyinyi bakini na polepole wenu wa usiku saa nane kajificha anaogopa adi kivuri chake !!!๐คฃ๐คฃTumempenda wenyewe
Mind your business assholeMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
Una akili usikilizwe, kuna mapunguani yanashinda na kukesha humu kuokoteza kila uchafu huko njaa inawapiga mbaya ht hawajui wanataka nini, watashtukia uzee huo na hawana ht kiwanja we waacheMtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV ๐ฎ
Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii ni sawa na kukesha unaangalia channel za watoto wadogo kwenye Tv hii ni aibu kubwa.
Wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, fursa za kiuchumi lakini wabongo wanakesha wanaskiliza kutapelia wa polepole.... stupid!
KARIBU KWENYE SALA YA NOVENAMama anaijenga nchi lkn chuki zenu tu ndio tatizo poleni tu chuki zilianzia kwa Jakaya kikwete
sisi tumewazoea kama timu ya Simba tu kashazoeleka kufungwa na YANGA maneno yao tumeyazoeya lkn Rais Samia Suluhu Hassan ni mpango wa Mungu.
Kinasikitisha kwasasa mnalishwa matango pori uku wanaowalisha awajui wamuunge mkono kiongozi gani kwenye Uchaguzi huu mana Chadema aipo kwasasa ni rip Chadema ๐
sasa sijui kama sio Samia ni nani ndio awe rais???
Kipindi cha JAKAYA japo wenzenu waliambiwa wampe Dk Slaa sasa nyinyi mmepangiwa nani???