INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa


Hiyo warranti ya miaka mitano noma sana. Life span ya tairi ni miaka minne, warranti inazidi life span. Ama ulimaanisha miezi mitano? Sina uhakika kama nikifunga hizo tairi kwenye gari zitadumu kipindi kimoja cha rais wa tanzania madarakani. Hebu fafanua vizuri.
 
bosi katika matairi ambayo ni imara na yanatumika sana kwa safari za mikoa, Bridgestone ni matairi mojawapo,Na nimesema yanakaa miaka mitano ni kweli yanakaa miaka mitano na hata zaidi. nina wateja kibao wamefunga hizi tairi wamekaa nazo muda mrefu.
Tatizo kwa biashara yetu ya sasa, vyuma vimekaza sana. Matairi ya mchina yamekuwa dili. watu hawanunui quality tires kwasababu ya pesa imekuwa adimu, wanataka cheap tires tu.
 
Mimi nahitaji ya Toyota Rush nadhani ni size 15....nitatoa size kesho
 
Unaposema mpya, yametengenezwa mwaka na wiki ya ngapi?
 
Je 215/70R16 za Rav 4 zinaenda kwa hela ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…