M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
ndugu umeshiba pesa, kuwa likizo ndo haufanyi biashara wacha wachina walete wafungwa waje kuuza maduka yao hapa bongosamahani nilikuwa likizo kwa muda, kwa hizi tairi hatuna kwasasa.
ndugu yangu..kufanya biashara na wabongo inabidi ujitoe ufahamu..ndugu umeshiba pesa, kuwa likizo ndo haufanyi biashara wacha wachina walete wafungwa waje kuuza maduka yao hapa bongo
hizo sina mkuu255/55R17 vipi
Hapana ukienda pale utamkuta...mimi niliwasiliana nae hadi nikafika pale ..mtoa mada ni dalali/mpiga debe kamezeshwa
ungechukua kariakoo bosi. izo hatuna mkuu.mkuu nijuze bei ya 18.4-30, nafahamu zipo tofauti tofauti katka size hiyo ila npe bei zake
zipo mkuu. ungepiga simu 0717-518359.Mnazo mud terrain za land cruiser mkonga
poa poa mkuuungechukua kariakoo bosi. izo hatuna mkuu.
Bado yapoHabari wadau, sasa tunawaletea brand mpya ya matairi ya yokohama na luxman baada ya kuuza sana matairi ya bridgestone.
Yokohama ni matairi imara na origino kutoka japan. Tunauza kwa bei inayoeleweka. Tunatoa warranti.
luxman ni matairi kutoka china. ni matairi imara na ni nzuri kwa wapenda bajeti.
Mteja anatakiwa ajue size ya tairi anayotumia kabla hajauliza bei.
Wadau wa mikoani tunawasafirishia matairi (gharama utalipia)
Piga simu - 0717518359, 0689866100, 0767-379 412
Kwasasa tunauza matairi ya YOKOHAMA GEOLANDER na LUXMAN
KARIBUNI
View attachment 705139