Kumekuwa na baadhi ya vijana mjini wenye jeuri ya kuonyesha nguvu ya pesa lakini imebaki kuwa siri yao namna wanavyozipata pesa.
Kuna matajiri wanaoingiza pesa kihalali lakini wapo pia matajiri wanaoingiza pesa kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili, si kila tajiri wa kutamani mali zake bila kujua anavyozipata.
Hapa kwetu Pesa za masharti za waganga zipo lakini watu wengi hawazitaki wamehamia kwenye biashara nyingine mbadala ambayo inafanyika tangu zamani lakini kwa sasa inalipa zaidi lakini risk kubwa sana,
biashara hii haina tofauti na kuchezea shilingi kwenye tundu la choo, ukidakwa ni jela miaka 30, Kabla ya 2017 adhabu ilikuwa faini milioni 1 au kifungo kisichozidi miaka 20
Bangi, Ganja, Msuba, Cha Arusha, Mmea, Wida, n.k. hii biashara muda huu imeblow, ni ina pesa acha kabisa.
Gunia la Bangi ni shilingi milioni 2 na nusu hadi milioni tatu
Muda wa kulima bangi hadi ikomae kwa mvuno moja ni miezi kama minne, ni zao linaloweza kuachwa na kujiotea hata mazingira magumu porini, halihitaji mbolea, uangalizi, matunzo kama mahindi, maharage, n.k,
Tukitumia bei ya chini, Hekari moja inatoa gunia 10 sawa na shilingi milioni 25
Kwa wale ambao hamjui ukubwa wa Heka, inakaribia nusu ya uwanja wa mpira
Biashara ina mtandao mpana hii, si ajabu baadhi ya watumshi wanapewa mlungula kulinda biashara, mfano kukiwa na road block wanampa bosi taarifa mapema, hii ni noah iliachwa, inaonekana dereva alishapewa taarifa
Kwa kila heka inayotoa milioni 25 gharama zinaweza kuwa milioni 2, kununua ukimya, ulinzi, n.k. ila kwa kurahisisha hesabu tufanye gharama ni milioni 5, hivyo faida iwe milioni 20.
Kwa kuwa pesa hizo ni nyingi sana huwezi kuziingiza moja kwa moja benki, inabidi uzitakatishe aidha kwenye biashara halali mfano mabasi, makanisa ya mchongo, hoteli, maduka, vikundi vya kusaidiana, n.k. biashara hata kama imebuma inapambwa ionekane inaingiza pesa.

- Kwa hekari 1 faida ni takribani milioni 20+
- Kwa hekari 10 faida yakribani milioni 200 +
- Hekari 50 faida bilioni 1 +
- Hekari 100 faida bilioni 2+