Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

Sisi masikini ni watu wenye maneno mengi sana kujifanya tunajua ni jinsi gani matajiri wanavyopata pesa. Ila cha ajabu tunashindwa kutumia mbinu hizo kujitajirisha kama wao. Ubatili mtupu!
Jua kutofautisha utajiri, kuna utajiri halali na utajiri haramu wa majambazi, madawa ya kulevya, kuuza watoto, n.k.
 
Sema hii kitu hatari sana , niliwahi pelekwa chimbo miaka fulani hivi katika harakati za maisha hizi nilikua na bustani maeneo fulani sasa jirani yangu mmoja alikua na bustani pembeni yangu ila kuihudumia hawezi ! nikawa namsaidia mashine ya kumwagilia na dawa za kuua wadudu mbolea kidogo nikibakisha namtoa kwa hiyo akawa mshikaji wangu

Jamaa alikua anakula kijiti mbaya mpaka imefikia hatua uongeaji amekua kama wa kitale 🤣 mjani alikua analia pale shambani kwa hiyo tukawa tunatia sana story !
Ndo akanitonya "oy jamaa yangu kwanini usiende ukacheki mazingira ya mjani kwa sababu una hela ukawa unauza hii kitu ! Tukatafuta pikipiki tukatia mafuta ya 10k kwenda site.
Nilifanikiwa kufika asee ila palikua chaka kinoma pia sikua na amani kabisa kwa sababu ndo ilikua mara ya kwanza kuuona mmea ukiwa live naona vile vya kujiotesha tu bustanini ,

Jamaa tulikula tour huko kwenye mashamba ya bangi maana location yalivyosetiwa sio kizembe ! Tulinunua kindoo kimoja kama kile cha kuogea aseee njia nzima mimi natetemeka nasema hapa mfano inatokea maaskari labda wako kwenye msako ndo jela inaniita hivyo 🤣🤣

Tulifanikiwa kufika salama , nakumbuka tulinunua kindoo kwa 70k kuna jinsi wanavyopakia maana hii kitu hata uzito haina tulivyofika nikamuachia jamaa akaita wahuni wafunge kete daah baada ya kuuza kwa kweli sikua na nia kabisa ya kuendelea tena maana sikua na amani kabisa.
 
TAATIZO maskini wanataka kujua chanzo cha utajiri wa Godlove na Mwigu ila hawataki kuulizia chanzo cha umaskini wao.

Serikali pia ichukue hatua kwa maskini ambao hawajui chanzo cha umaskini wao.
 
TAATIZO maskini wanataka kujua chanzo cha utajiri wa Godlove na Mwigu ila hawataki kuulizia chanzo cha umaskini wao.

Serikali pia ichukue hatua kwa maskini ambao hawajui chanzo cha umaskini wao.
 
Mbegu bora napataje maana TARI hawatakuwa nayo kabisa,nackia ukiongeza ammonia kitu kinakuwa supa unyama
 
Haha wewe kwenye shamba la mahindi ya watu ulienda kufanya nini? Na shukuru Mungu haukuonwa vinginevyo wangejua wewe ni spy na hakika wasingekuacha
 
Haha wewe kwenye shamba la mahindi ya watu ulienda kufanya nini? Na shukuru Mungu haukuonwa vinginevyo wangejua wewe ni spy na hakika wasingekuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…