Matajiri ambao vyanzo vyao vya pesa havijulikani, huku ndiko baadhi wameanza kuokota magunia ya pesa, si pesa za masharti ila Jela inakuchungulia

Nchi hii ina laana,majitu mmeyapa V8 R yanaiba mabilioni namkuingiza sukari za deal.leo hii unawaogopa wavuja jasho ambao hata kilo moja ya korosho
walosema inauzwa 4500 Leo.inanunuliwa 2000,Kaliakoo.kweupe Ile agrey sasa hivi kwa mara ya kwanza unaona zaidi ya MITA 120 mbele,Ukienda Kilombero Sugar wakulima.wanabinywa na kila kona.watu wamekabwa,kitunguu kilianza.na.kabei flani hivi kwa sasa 60,000 kwa gunia wakati samaki Mwanza hawaliki wakulima na wavuvi wanakula beef.Brazil.wako busy na biashara,hata kitimoto leo hii inapaa bei balaa,sasa unapigwa shamba,unapigwa kwenye ajira,unapigwa kwammikopi ya Benki, unapigwa marejesho,unapigwa mikopo umiza,unabakia kujichekesha kwa mechi za yanga na simba
 
Makanisa kumbe ni biashara
 
Makanisa kumbe ni biashara
Kanisa likifanywa kuwa sehemu ya kutakatisha fedha halina utofauti na biashara za kutakatisha fedha, hata sadaka ikiwa elf 7 utadhanganya ni milioni 10 na misaada milioni 30
 
Sio kilimo cha maharage hiki ukifanyie survey kwamba shamba liwe bondeni πŸ˜‚ kuna mambo mengi ya ziada mzito
Nayafahamu baadhi, Mimi pia ni mlaji wa mwisho wa bidhaa hii, kuna mashamba kadhaa nimewahi yashuhudia Arusha na moja Moshi hapo (hili ni la raia wa kigeni) bado naendelea kujifunza
 
Acha Guessing. Unadhani mamlaka hazioni??
 
Mnaoneshwa nguvu ya pesa mtandaoni πŸ˜„
Kwa hyo na nyie mnaamini mkiona hayo magari na majumba
πŸ˜„

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…