Matajiri unaowaona hapo, ni wale aliamua kujisalimisha Kwa Trump baada ya ushindi.Hao matajiri wamemsaidia sana kuwa hapo na bado watamsaidia sana kuleta MAGA kwenye uhalisia
Ila pia nadhani ni mpangilio wa kawaida maana hata infantino alikuwa kama kavamia sherehe
MachawaMatajiri unaowaona hapo, ni wale aliamua kujisalimisha Kwa Trump baada ya ushindi.
Tafuteni Mali, pesa huishaView attachment 3207967
Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa Google, wamekaa siti ya mbele kwenye shughuli ya uapisho wa raisi Trump wakati mawaziri wake wamekaa siti ya nyuma.
Ni dhahiri sasa Trump anaheshimu zaidi matajiri kuliko watendaji wake wa serikali.
Imagine mwanasheria wake mkuu, na waziri wake Robert Kennedy Jr, na mawaziri wake wote kawaweka nyuma ya matajiri hawa.
Atakula tenda kama zote za Pentagon na NASA, baadhi ya sheria na kodi zinazomuhusu zitalegezwa pia. Sasa hivi ni mtu muhimu katika timu ya Trump kuamua nani anapata nafasi muhimu za kazi serikali ya Marekani.Mbona Elon Musk anaonekana kujaa bashasha kuliko wote?
Amemteua shoga kuwa waziri wa fedha.Bora huyu anaheshimu matajiri kuliko wale wanahusudu mashoga,wasagaji na watu wasio na jinsia.
Boss wa Meta muda wote anaonekana anataka kuruka au kukukuruka.Boss wa Google muonekano wake si haba, kituko ni yule wa Meta.
Elon kajisalimisha lini ndugu????Matajiri unaowaona hapo, ni wale aliamua kujisalimisha Kwa Trump baada ya ushindi.