Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

Trump mwenyewe anatumia ofisi ya Urais kupiga pesa za Wamarekani kupitia Hoteli zake wewe kilaza.
Kilaza ni wewe. Ndio maana Tanzania CCM wote ni wezi sababu ya mawazo Kama haya. Mwenzio Trump hotels zipo zamani kabla ata hajawaza kuwa raisi. Jinga kweli. Hivi unajua vyombo vya usalama vya marekani au umezoea hao wakutishana bar? Asingekuwa raisi Kama wangejua anaiba. Jinga linadhani kila mahali wanna mawazo mufilisi Kama banana republic zenu aka shitholes.
 
Niliona diwani wa kata ya Queens, manispaa ya Manhattan hajapewa kiti.
 
View attachment 3207967

Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa Google, wamekaa siti ya mbele kwenye shughuli ya uapisho wa raisi Trump wakati mawaziri wake wamekaa siti ya nyuma.

Ni dhahiri sasa Trump anaheshimu zaidi matajiri kuliko watendaji wake wa serikali.

Imagine mwanasheria wake mkuu, na waziri wake Robert Kennedy Jr, na mawaziri wake wote kawaweka nyuma ya matajiri hawa.
Hao ndiyo waliowezesha kugharamia kampeni za Trump kugombea uraisi,kwa hiyo ulitaka wakae siti za wapi?
 
Back
Top Bottom