Matajiri siti ya mbele, mawaziri siti ya nyuma uapisho wa Trump

....
 
Bro wangu Elon vp
Elon atagombana na Trump mda si mrefu. Elon mjanja mjanja anajiweka kwa trump ili awatumie wafuasi wa Trump kukuzq dhamani ya hisa za makampuni yake na magari yake ya umeme, kilichomfanya kupanda sana tangu anunue Twitter na kumrudishia Trump account yake, ila trump leo kasema atachimba mafuta yote marekani kitu ambacho kitamuudhi elon sababu magari yake ni ya umeme na trump nae ni kinyonga kila rafiki yake anagombana nae, na ndiyo litakuwa anguko la Elon musk.
 

Trump hana mawaziri bado.
 
That's what is supposed to be
 
Ndio maana nyie mataifa yenu ni maskini. Umaskini unaanzia kwenye fikra!
Nilifikiri ni mimi tu ndio nimeona, bora ya yeye sasa huyo mkewe ndio kituko kwenye huo uapisho hata hereni kuvaa tu aliona issue.

Naelewa ana akili nyingi na yuko busy ila shughuli kubwa kama ile ni heshima pia kwenda na muonekano mzuri.
 
Mawaziri wa Serikali gani?

GOD BLESS ISRAEL
 
Ndio maana nyie mataifa yenu ni maskini. Umaskini unaanzia kwenye fikra!
Nilikuwa nasubiri reply ya aina hii, ina maana matajiri wakubwa kuliko yeye waliovaa vizuri hapo ni masikini wa fikra?

Watanzania kwa ujuaji wa kila kitu hatujambo! Wewe hizo fikra zako za kitajiri za kuvaa hovyo zimekufanya tajiri kuliko hao matajiri wenzie waliovaa vizuri?
 
Ndio matatizo yetu haya.

Kuvaa vizuri ndio ujanja.

Matajiri huwa mavazi sio priority.
 
Ndio matatizo yetu haya.

Kuvaa vizuri ndio ujanja.

Matajiri huwa mavazi sio priority.
Ulisoma post yangu ya kwanza lakini Mkuu? Nilisema ni kwa siku ya tukio muhimu la uapisho kama jana.

Elon huwa anavaa hovyo ila kwa kutambua umuhimu wa siku ya jana aliwaka haswa, na ndivyo ilivyopaswa kuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…