Lile jicho la demu wa Bezos limeelekezwa kwa nani kwa mtazamo wako?.Nilifikiri ni mimi tu ndio nimeona, bora ya yeye sasa huyo mkewe ndio kituko kwenye huo uapisho hata hereni kuvaa tu aliona issue.
Naelewa ana akili nyingi na yuko busy ila shughuli kubwa kama ile ni heshima pia kwenda na muonekano mzuri.
Kwa mwenye hela kuliko viumbe wote dunianiLile jicho la demu wa Bezos limeelekezwa kwa nani kwa mtazamo wako?.
Hapana, mkuu. Trump amemnyima tenda ya kusambaza dawa feki za korona feki. Ana hasira yule!Bill Gates amegoma kuwa chawa
Alialikwa, mwenyewe akaamua kuupiga chini mwaliko kwa vile alikuwa na majukumu mengine pale Dodoma.Kwa hiyo tajiri Diamond Platnumz hakualikwa?
We unaekaa kwa shemeji yako gongo la mboto unawaita machawa kina elon musk kisa tu umpendi kwa uswahiba wake na putin,,, na kashasema jinsia ni mbili tu taifa lako unalolishabikia Israel wapenda kufilwa ndo mana mnamchukiaMachawa
Bi. Dada anaonekana ni mtu wa fursa.Kwa mwenye hela kuliko viumbe wote duniani
Ndio nature mkuuBi. Dada anaonekana ni mtu wa fursa.
Mimi sikuzingatia hilo, niliona tu anahaha mara akavua koti japo kiukweli alipendeza sana.Lile jicho la demu wa Bezos limeelekezwa kwa nani kwa mtazamo wako?.
Wewe unaishi wapi? Kwani kila waziri anajulikana tayari, nashangaa wako hapo ila hajawapa heshima kubwa kama mayajiri. Alafu kama unazani wakishaapishwa ndiyo itakuwa tofauti hapo kwenye picha nyuma ya Zuckerberg kakaa speaker wa bunge la senate ambaye republicanMawaziri wa Serikali gani?
GOD BLESS ISRAEL
Yule mama mhindi kaambiwa ku smile ndiyo class ila kazidisha sana, inferiority complex sababu wazungu wanawachukia sana wahindi sikuhizi sababu ya viza za H-1BMimi sikuzingatia hilo, niliona tu anahaha mara akavua koti japo kiukweli alipendeza sana.
Kwamba alikuwa anajisogeza kwa Elon?
Mtu aliyenikera ni mke wa Vance, alikuwa anazidisha mambo. Kujichekesha kwingi, alikosa classy.
Sijafuatilia maoni ya watu juu ya hilo japo nategemea kufanya hivyo kesho ila alizingua hadi nikamind.Yule mama mhindi kaambiwa ku smile ndiyo class ila kazidisha sana, inferiority complex sababu wazungu wanawachukia sana wahindi sikuhizi sababu ya viza za H-1B
Naunga hojaTutafute hela mkuu hakuna kitu kinaitwa protocal, ni vipaumbele tu
π³π³ππππ€π€π€Bezos kazingua kingese yaan wenzie hawana mademu au yaan yeye ndio mtombaji bora kuliko Elon Musk?
We jamaa bana!!!!???πππAlialikwa, mwenyewe akaamua kuupiga chini mwaliko kwa vile alikuwa na majukumu mengine pale Dodoma.
Kwani hujaiona kazi yake na matokeo kuhusu uteuzi wa namna yake wa Dkt. Nchimbi?
ππ Message of the day ππSasa ukiwa masikini, utashauri nini? au ndio utaanza kueleza zile 'theory' ulizokariri darasani?
Umasikini ni laana, tuukatae kwa vitendo ata kwa kuuza kahawa ya kutembeza; kuwa masikini inatafsiri nimeshindwa kujishauri; sasa kama nimeshindwa kujishauri, ni nani atakayeamini ushauri wangu? (wale waliokaa nyuma)
Ndio maana wanaume wamewekwa mbele hapo; wakitaka kwenda sehemu yoyote duniani kwa muda wowote bila vibali, wanapita.
Hy ndio maana ya capitalism na ndio maana ya USA, binafsi nimependa.
Anyway, Zuckerberg yupo kama alien flan hv aliyepotea huko majuu na kuangukia USA.
Elon amekaa kawaidaHahah!!
Na Elon je?
Halafu siyo huyu alipukutishwa mali juzi juzi na mwanamke akatoka hadharani kifua mbele akasema kutoka sasa atakaa nao kwa tahadhari?Bezos kazingua kingese yaan wenzie hawana mademu au yaan yeye ndio mtombaji bora kuliko Elon Musk?