Mtaalam_the_first
Member
- Sep 8, 2016
- 41
- 91
Tuhamie piptwitz.com kule positivity kubwa kila mtu ana trade forex humu kuna watu yamewashinda sasa wanaharibu vichwa vya wanao pambana hakuna kitonga kokote maishani ukiona kitu kila mtu anaweza akakifanya akatengeneza pesa nacho jua kabisa hakuna pesa yakueleweka hapo. Ila ukiona kugumu ni wachache wanaweza kuiga au kutengeneza pesa na biashara yako basi jua upo sehemu sahihi chakufanya pambana uwe kwa wachache.