Kijakazi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2007 Posts 7,093 Reaction score 10,469 May 20, 2022 #21 Lakini hao Wahindi/Waarabu hawakupendi na wanakudharau isitoshe hata wao wana matatizo mengi tu sema hawaji kwako kwa ushauri kwa maana wanakuona ni inferior kwao ingawaje wewe unajipendekeza kwao!
Lakini hao Wahindi/Waarabu hawakupendi na wanakudharau isitoshe hata wao wana matatizo mengi tu sema hawaji kwako kwa ushauri kwa maana wanakuona ni inferior kwao ingawaje wewe unajipendekeza kwao!
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 May 21, 2022 #22 Pia Sio aghlab kuona mtt wa kiarabu au wa kihindi kamtoa mzazi wake roho kwa sababu Ana Mali. Sasa njoo kwa sie wa pande zileeee. Mtt au watt wanashirikiana kumuua mzee wao kusudi wapate Mali. Yaraab salama.
Pia Sio aghlab kuona mtt wa kiarabu au wa kihindi kamtoa mzazi wake roho kwa sababu Ana Mali. Sasa njoo kwa sie wa pande zileeee. Mtt au watt wanashirikiana kumuua mzee wao kusudi wapate Mali. Yaraab salama.