Matajiri wakubwa Tanzania si wafanyabiashara bali ni wanasiasa, viongozi wa serikali na ndugu zao, kuonyesha kwamba kuna kitu hakipo sawa

Wataje hao wanasiasa wenye hela kumzidi Bakhresa, Mount Meru, Mo au Lake group,

Sometimes tusidanganyane sana, wanasiasa wana hela ila usiseme ndio wenye hela nying nchini, matajiri hii nchi ni wahindi na waarabu
Siku ukija kugundua kuwa Bhakresa amekuwa vile kwa nguvu ya wanasiasa utashangaa na roho yako. Kuna support kubwa ya mafisadi ndio waliopelekea jamaa kufikia pale alipo na kuna watu wanakula % zao katika utajiri wake.

The same goes to GSM and Lake Oil energies. We unaona wahindi wametangulizwa mbele ila kuna nguvu ya mstaafu mmoja aliyeweka mzigo wa maana na kutagi ubavu ndio inawafanya wawe hapo walipo. Kikubwa ni uaminifu tu na loyalty ambao watu weusi wengi hatuna ila wenzetu rangi ya mtume na gabacholi wanao. We mtu akikuamini akupe biashara ya mamillion utaanza wizi na umalaya ila wenzetu wenye discpline ndio kama hivyo utajiri ni wa uhakika akileta mtu usumbufu simu moja tu kwa mstaafu mambo yanasawazishwa. Na sahizi wanahodhi bandari kabisa kwa mlango wa nyuma kupitia kampuni ile ya kitovu cha biashara cha uarabuni.
 
Kwahio baba yako mmatumbi aaminike kuliko ngozi nyeupe? We uliskia wapi??? Hapa Tanzania watu wanaoongoza kwa uaminifu ni Arabs and Indians na ndio maana kwenye fursa za multi millions hupewa wao kirahisi kuliko mwafrika kwa sababu tunajuana kwa ubinafsi na kujisahau. Discpline hatunaga kabisa.

Unatolewa jalalani na mtu ukishaanza kushika fedha dharau nyingi na umalaya na kujiona unayaweza wakati umefadhiliwa tu. Ukitupwa nje ya mfumo huwezi furukuta🤣
 
Hao wa hivyo wapo ila ni wachache na wengi walicheza rafu ili kufikia hapo walipo. Katika nchi kama yetu ambapo utawala wa sheria unaangalia una connection gani na wakubwa unafikiri kwa michezo mibaya unaweza kudumu kwa muda mrefu kabla hujapotezwa ikiwa huna baraka za wakubwa?

Msukuma alikuwa anatorosha dhahabu kwa mujibu wa maelezo yake na alikuwa na advantage ya system mbovu ya kwenye mamlaka ya madini. Licha ya hivyo lazma kulikuwa na watu wazito wanampa backup ili asiingie kwenye mikono ya ma askari japo asingeweza kusema. Familia zetu nyingi lazma kuna mjomba au shangazi yuko kwenye mfumo ama kuna jamaa zako wataingia kwenye mifumo ukiwa connected nao kero ndogo ndogo za kimifumo hazisumbui.
 
Tutafute coneksheni tu huko siasani hamna namna
 
Huu ndio ukweli ambao wabongo wengi hatuujui. Kuna siku Fredy Vunja bei aliropoka jambo nikaona kumbe hata yeye anafahamu hilo. Unaweza ukawa meneja mzuri wa biashara yako ndogo na kasi ya ukuaji ikavutia watu wengine kuwekeza pesa zao kwako. Sio lazma uwe na mtaji mkubwa wa kufanya kila kitu mwenyewe.

Hiki ndicho wanasiasa wanafanya sababu anakuwa na pool ya hela ndefu. Akipiga dili lake moja ana stake in billions. Hizo fedha ili asishtukiwe lazima aziingize kwenye biashara ya mtu au afiche nje. Sasa unamuaminije mtu with billions of money?

Ndio maana wanatafutaga wafanya biashara wakubwa na kutaka kuingiza mitaji kwao kisha wanakula migao ya faida. Bahati nzuri watu waaminifu ni wenye asili ya kihindi na kiarabu.
 
Sasa naelewa kwa nini ma askari huitwa MBWA WA CCM.

Shida sio hao wanasiasa shida ni wananchi na majeshi yao kukubali kuwa wajinga.

Waacheni wanasiasa wale mema ya nchi.
Shida sio wananchi, hakuna ambaye haujui mfumo unavyofanya kazi. Shida ni divide and rule system. Unatengeneza makundi kisha unagawa vyeo kwa viongozi wa hayo makundi na kuwapa VIP treatment as long as wanafanya unavyotaka iwe kisheria au kimabavu. This is what MbogaMboga political party does.

Hakuna mtu atataka ku risk maisha yake ikiwa anajua kabisa mfumo hauko in his favour. Kiongozi wenu wa kikundi hayuko pamoja na nyinyi ila kwa interest za aliyempa uongozi huo, sasa mtaanzaje ku strike katika hali kama hio? Ubinafsi ndio unatumaliza wabongo hivyo. Njaa na Patriotisim havikai sehemu moja.
 
Tatizo mkiambiwa muandamane kupaza sauti kwa pamoja mnajofungie ndani
Shida sio kuandamana, shida ni ubinafsi na kiburi 🤣 cha watawala. Nadhani uliona kilichotokea baada ya announcement ya tarehe 23.

Waliweka askari tena wenye armed riffles kila kona ya jiji ili tu ku impose vitisho ila tafsiri ya wazi kuwa watawala wako radhi kumwaga damu zetu ikiwa kuna mtu atataka ku temper na mfumo wao wa ulaji.

Sasa are you willing to lose your life in such situation? Hujui what will be the aftermath ya familia yako.
 
Majizi
 
You are right.....these are the people who spend our Revenues by hooks and crooks
 
Njaa na patriotism havikai pamoja kama wahendekeza njaa.
 
Sasa katika hali ya kawaida unafikiria hao madogo wanaweza wakagusika? Yani kuna mkuu gani wa kituo atawasumbua🤣!
Unaweza make billions in a month wewe si meli 🤣
 
Noma sana!
 
Wataje hao wanasiasa wenye hela kumzidi Bakhresa, Mount Meru, Mo au Lake group,

Sometimes tusidanganyane sana, wanasiasa wana hela ila usiseme ndio wenye hela nying nchini, matajiri hii nchi ni wahindi na waarabu
Sasa kitu usichojua wanasiasa wote wanachezo humo humo ulimotaja wakiwemo na wakuu wako woote unaowajua wewe.

Ndioaama hao uliowataja wasipounga mkono mboga mboga cha moto wanakipata
 
Wazi kabisa 🤣 yani hutoboi!

Yani leo hii hata wewe kama una ujamaa na mtu ambaye ni nguli kwenye system au raia namba 1 ukiwa na ujamaa naye unaweza hata kuanza kusafirisha bange toka tarime ukaleta bongo na utaifanya hio biashara as long as yeye anakupa backup hakuna IGP wala ushuzi wowote wa askari atakaegusa body ya gari iliopakia mzigo wa mmea😁! Ndio maana watu wanaunga mkono juhudi za mboga mboga political party na sifa nyingi kwa raia namba one ili mambo yao yaende.

Ila fanya kimya kimya uone hata kama December itafika kabla hujaingia Segerea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…