Matajiri wanaitwa Ikulu kupata futari, sisi walalahoi tutaitwa 2025 kupanga foleni kupiga kura!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Wandugu asalaam!

Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?

Vijana tuamke

So ulitaka kwenda ikulu? Mkuu?
 
Sisi tutaitwa muda ukifika kula kura kwenye foleni ndefu kabisa.
 
Mwenye nacho huongezewa' somaa hiyooo!!
 
Huu sasa ni upuuzi. Kwa nini Watanzania mnaona wivu hata kwa vitu vidogo kama futari?

Njooni na hoja siyo huu utopolo
 
Mwenye nacho anaongezewa asiye nacho hata kile kidogo ananyang'anywa kuwa tu mpole wenzio wameshika mpini uliyeshika makali tulia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sasa ni upuuzi. Kwa nini Wata.zania mnaona wivu hata kwa vitu vidogo kama futari?

Njooni na hoja siyo huu utopolo
Wivu kwa maana ipi kwani wanamlalamikia mtu binafsi hapo?
 
Wewe sasa nongwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka ftali ya taifa zima wale same wawakilisha hujui kwamba maskini ni wengi
 
Wewe sasa nongwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka ftali ya taifa zima wale same wawakilisha hujui kwamba maskini ni wengi
Basi angeita wenye uhitaji halisi wa futari, ukienda pale nje ya soko la samaki Mita chache kutoka lango la ikulu wapo watu kibao wengine wamefunga lkn futari kwao changamoto lkn kamuita Diamond ambae siku ya kupiga kura wale hatajitokeza atakua na Zuchu wanazagamuana
 
Umaeambiwa wataiba tausi, alfu mnakula sanaaa nani awaalike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe sasa nongwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka ftali ya taifa zima wale same wawakilisha hujui kwamba maskini ni wengi
Marehemu Mzee Mengi alifanyaje? Masikini wachache wanawakilisha masikini wenzao wengi.
 
Umaeambiwa wataiba tausi, alfu mnakula sanaaa nani awaalike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji1] [emoji38] daaah kuwaweka wafanyabiashara pale na mastaa sio poa kabisa wangeitwa hata kituo flani cha yatima au kikundi flani cha Akina mama ntilie labda cha magomeni pale
 
Mnyaazi Mungu hapendi. BTW your network is your netwoth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…