ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio maisha yalivyo ndio sababu nilishakataa kuendeshwa Wala Kutumika Mwanasiasa yeyote..Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
Kama.umegindua hili fanya Yako achana na hao wachumia tumbo.