deina
Member
- Sep 8, 2021
- 89
- 115
Kila mtu na nanfsi yake na mapenzi yake hapangiwiHa ha ha ha ha [emoji23] [emoji1] [emoji38] daaah kuwaweka wafanyabiashara pale na mastaa sio poa kabisa wangeitwa hata kituo flani cha yatima au kikundi flani cha Akina mama ntilie labda cha magomeni pale