Kila mtu na nanfsi yake na mapenzi yake hapangiwiHa ha ha ha ha [emoji23] [emoji1] [emoji38] daaah kuwaweka wafanyabiashara pale na mastaa sio poa kabisa wangeitwa hata kituo flani cha yatima au kikundi flani cha Akina mama ntilie labda cha magomeni pale
... Ikulu hatuwezi kuenea; labda tukafuturishwe taifa ambapo napo hapatutoshi. The best option ni kuachana na mpango kama huo. Jukumu letu la msingi ni kupiga kura tena kura "zinazotakiwa" na tujitokeze kwa wingi.Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
Daaah Aya bana inshaallahKila mtu na nanfsi yake na mapenzi yake hapangiwi
Hao wenye miushingi wanamiliki makampuni gani!Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
Kodi zenuFungu la kufuturisha ni mshahara wake au kodi zetu?
Mkuu, kwa nukuu maandiko matakatifu imeandikwa,Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ata bangi wakivuta wao inaonekana sigara,tukivuta sisi inaonekana dawa ya kulevya
Wewe sasa nongwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulitaka ftali ya taifa zima wale same wawakilisha hujui kwamba maskini ni wengi
Huu ndio ule ukumbi JPM (R.I.P) alitoa maagizo msaliti ashughulikiwe!?Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
na asie nacho atapokonya hata kidogo alichodhani kwamba anachoMwenye nacho huongezewa' somaa hiyooo!!
Alafu mkachome nyama ya tausi, bora msiende maana badae kesi mmeiba nyara za serikaliWanaogopa maskini tutaiba tausi
Sipotezi mudawangu kwenye ujinga wachaguane wenyewe hivi wanaofunga kwalezma huwa hawafuturu?Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
na utakua unalala hoi hivyo hivyo kila sikuWandugu asalaam!