ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio maisha yalivyo ndio sababu nilishakataa kuendeshwa Wala Kutumika Mwanasiasa yeyote..Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni .. baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU ! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
Wewe uko sawa na Mimi yaani niache mishe zangu nikapange foleni? Kabla sijajitambua nilipanga foleni back then ila Kwa Sasa haitokaa itokee..Sipotezi mudawangu kwenye ujinga wachaguane wenyewe hivi wanaofunga kwalezma huwa hawafuturu?
Matajiri wanaitwa ikulu kula futari huku wakipata wasaa kuongea mambo ya kuongeza ajira kwa maskini na kulipa kodi nkWandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
AsanteKodi zenu
Bora nilale sikunzima kulikokupiga kuraWewe uko sawa na Mimi yaani niache mishe zangu nikapange foleni? Kabla sijajitambua nilipanga foleni back then ila Kwa Sasa haitokaa itokee..
Ukiona unaitiwa fursa na mwanasiasa jua wewe ndio anataka akufanyie fursa.
Ha ha ha eti watakuwa wanazagamuana, halafu makapuku huwa wakwanza kupanga foleni 12 wapo hapo wanasubili kupiga kura [emoji3][emoji3]Basi angeita wenye uhitaji halisi wa futari, ukienda pale nje ya soko la samaki Mita chache kutoka lango la ikulu wapo watu kibao wengine wamefunga lkn futari kwao changamoto lkn kamuita Diamond ambae siku ya kupiga kura wale hatajitokeza atakua na Zuchu wanazagamuana
Haaaaa haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umaeambiwa wataiba tausi, alfu mnakula sanaaa nani awaalike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini achelewe na kuwahi maisha kunakuaje?Ukiwaza kwa mifano hiyo utachelewa sana maisha.
QOURAN inasema futurisha Masikini na Wasiojiweza SIO MATAJIRIWandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini?
Vijana tuamke
Tatizo mpo wengi wao wachache.Wandugu asalaam!