Matajiri wanaoishi Arusha, Kilimanjaro, Mwanza na kwingine wanatumia wamasai wawafugie maelfu ya ngombe Ngorongoro, sasa wanafadhili maandamano

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi.

Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo seregeti.

Matajiri hao kwa sasa wanatumia nguvu ya fedha na kuwapa kikundi kidogo cha wamasai ili wakatae kuondoka Ngorongoro kwa kuwa wnaajua itakula kwao, kwa sababu itakuwa maajabu na hao matajiri wanaomiliki migodi, viwanda, na mabasi wakipewa ekari mbili msomera.

Wingi wa wanyama wa kufugwa umesababisha magonjwa mengi kwa wanyama pori, na vifo vya wanyama pori kwa sasa vimekithiri Ngorongoro kutokana na kurundikana kwa mifugo toka kanda ya ziwa, Mbeya, Lindi, na baadhi ya maeneo ya Tanga na kilimanjaro.

Wale wafugaji wa asili kabisa ya Ngorongoro wote wameondoka kwenda Msomera, Tanga, wamebaki vibarua wa matajiri hao ambao sasa wanasababisha vurugu mbugani.

Pia soma:
 
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi
🚮 🚮 🚮

Uchawa ni ukosefu wa akili.

Yaani mtu asafirishe ng'ombe wake kutoka mkoa wa Mara hadi Ngorongoro ili akafugiwe na Wamasai asiowajua wanaoishi na ng'ombe misituni 24/7 kwa miaka kadhaa, si ataporwa wote?
Hivi unawajua Wamasai kwa ng'ombe wewe?!

Huu uzushi na propaganda feki peleka kwa wajinga wa Lumumba huko....
 
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi.

Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo seregeti.

Matajiri hao kwa sasa wanatumia nguvu ya fedha na kuwapa kikundi kidogo cha wamasai ili wakatae kuondoka Ngorongoro kwa kuwa wnaajua itakula kwao, kwa sababu itakuwa maajabu na hao matajiri wanaomiliki migodi, viwanda, na mabasi wakipewa ekari mbili msomera.

Wingi wa wanyama wa kufugwa umesababisha magonjwa mengi kwa wanyama pori, na vifo vya wanyama pori kwa sasa vimekithiri Ngorongoro kutokana na kurundikana kwa mifugo toka kanda ya ziwa, Mbeya, Lindi, na baadhi ya maeneo ya Tanga na kilimanjaro.

Wale wafugaji wa asili kabisa ya Ngorongoro wote wameondoka kwenda Msomera, Tanga, wamebaki vibarua wa matajiri hao ambao sasa wanasababisha vurugu mbugani.

Pia soma:
Nani anafuga waarabu hifadhini
 
🚮 🚮 🚮

Uchawa ni ukosefu wa akili.
Yaani mtu asafirishe ng'ombe wake kutoka mkoa wa Mara hadi Ngorongoro ili akafugiwe na Wamasai?!!!

Huu uzushi na propaganda feki peleka kwa wajinga wa Lumumba...
Usiwe na haraka mkuu.Ngoja atuletee orodha ya wavivu wanaofugiwa mifugo yao na wamaasai.
 
Awamu hii Masai wananyanyaswa sana.yaani wanaswagwa kama ng'ombe Kwa kufukuzwa maeneo Yao ya asili.huyu bibi aliyerithi urithi ni wakala wa mabeberu ndiyo maana ameamua kuyauza maeneo ya wamasai Kwa waarabu
 
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi.

Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo seregeti.

Matajiri hao kwa sasa wanatumia nguvu ya fedha na kuwapa kikundi kidogo cha wamasai ili wakatae kuondoka Ngorongoro kwa kuwa wnaajua itakula kwao, kwa sababu itakuwa maajabu na hao matajiri wanaomiliki migodi, viwanda, na mabasi wakipewa ekari mbili msomera.

Wingi wa wanyama wa kufugwa umesababisha magonjwa mengi kwa wanyama pori, na vifo vya wanyama pori kwa sasa vimekithiri Ngorongoro kutokana na kurundikana kwa mifugo toka kanda ya ziwa, Mbeya, Lindi, na baadhi ya maeneo ya Tanga na kilimanjaro.

Wale wafugaji wa asili kabisa ya Ngorongoro wote wameondoka kwenda Msomera, Tanga, wamebaki vibarua wa matajiri hao ambao sasa wanasababisha vurugu mbugani.

Pia soma:
Chai bila kitafunwa.
 
Next time unspojaribu kuandika uwongo au ku spin uwe unatumia akili, humu ndaji huandikii watoto wenzio
 
Huyo bi mkubwa tukiendelea kumchekea atawamilikisha wajomba zake waarabu Tanganyika yetu, rasilimali zetu na urithi wetu. Tumechoka, tuungane kwa pamoja na tupaze sauti IMETOSHA NA SASA BASI.
 
Matajiri wanaoishi mikoa ya mbali ikiwemo Mara, Mwanza, Arusha, Kilomanjaro, Dar es salaam walitumia kigezo cha jamii ya kimasai kuishi Ngorongoro kuingiza hifadhini mamilioni ya ngombe hivyo kuathiri uhifadhi.

Hii ni baada ya serikali kudhibiti mifugo kuingia katika hifadhi nyingine ikiwemo seregeti.

Matajiri hao kwa sasa wanatumia nguvu ya fedha na kuwapa kikundi kidogo cha wamasai ili wakatae kuondoka Ngorongoro kwa kuwa wnaajua itakula kwao, kwa sababu itakuwa maajabu na hao matajiri wanaomiliki migodi, viwanda, na mabasi wakipewa ekari mbili msomera.

Wingi wa wanyama wa kufugwa umesababisha magonjwa mengi kwa wanyama pori, na vifo vya wanyama pori kwa sasa vimekithiri Ngorongoro kutokana na kurundikana kwa mifugo toka kanda ya ziwa, Mbeya, Lindi, na baadhi ya maeneo ya Tanga na kilimanjaro.

Wale wafugaji wa asili kabisa ya Ngorongoro wote wameondoka kwenda Msomera, Tanga, wamebaki vibarua wa matajiri hao ambao sasa wanasababisha vurugu mbugani.

Pia soma:
Hiii kawasimulie wajinga wenzako kwenye vijiwe vya kahawa na Tangawizi
 
Back
Top Bottom