Matamasha yote yangekua na kiingilio rahisi na bure,watanzania tungeongoza kuwa taifa lenye furaha zaidi duniani

Kwa hyo kati ya Wasafi Festival na Fiesta kipi kilikuwa juu!?
 
Ni Abraham Maslow. Mkuu
 
Beautiful"
 
Bora umeongea points
 
Jamaa anazan kuwa wa kishua ni zambi wakati ni maisha tu watu tumezaliwa tumekuta wazazi wetu wametujengea majumba na kutununulia magari ya kifahari.

Sasa sisi tuyakatae ili iweje

Kuna baadhi ya watu huwa wanachekesha sana
 
Fact[emoji1666]
Furaha ya wananchi haiwezi kuletwa na matamasha ya muziki
Mtanzania wa kawaida akiweza kumudu milo mitatu kwa siku, makazi bora na huduma nzuri za Elimu pamoja na afya vitu kama matamasha ya mziki vinakua extra katika kumuongezea furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…