severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kwa hyo kati ya Wasafi Festival na Fiesta kipi kilikuwa juu!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2]kwamba furaha inaletwa na matamasha ya muziki??naanza kuamini kwamba ubongo si kila mtu anamiliki!
Nakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Adam Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
Mkuu mm mbagala zakiem nimeskia kelele za mziki janaWakazi wa keko,kurasinikwa azizi Ali,chang'ombe,Sudan,temek hospital ,wailes,mgulani poleni sana
Wasafi festivalKwa hyo kati ya Wasafi Festival na Fiesta kipi kilikuwa juu!?
Alafu moja ni buku 10 kwingine elfu 3
Nieleweshe tafadhaliWewe hujaelewa lengo la mleta mada
Mbona watu tuliiingia bure..wapunguze mala ngapi sasa
Huyu hajaja kisiasa bali kaja kuonesha walivoingia bure pamoja na kuwa na kiingilio kidogo. Ndo maana kasema fungulia mbwa, hiyo furaha alosema ni sarcasmNieleweshe tafadhali
Beautiful"Sio kujifanya. Mimi na matamasha ya hivyo mbali mbali na sio kama sipendi mziki. Mimi mtoto wa kike siwezi enda kuungana na wahuni national stadium.
Pia Kuna levels yaani sijizungumzii mimi ila ndo ipo hivyo huwezi kwepa.
Wa kishua na wa kajamba nani wataendelea kuwepo.
Sawa mkuuWasafi festival
Nyegezi, Mwanza umehama mkuu
Ni Abraham Maslow. Mkuu
Bora umeongea pointsNakushauri urudi shule kabla haujawa kichaa
kuna mtu anaitwa Abraham Maslow aliwai sema katika maisha kuna vitu vitatu vya msingi
1. Chakula 2. Malazi 3. mavazi
Sasa iyo kusema mziki ni lazima labda kwako kulingana na preference yako unaweza ukatoa elfu 20 uende kwenye Tamasha ukiwa hauna nguo na haujui utakula nini?
Fikiria nje ya box mkuu alafu kusema kwamba kiongilio ndio kimejaza watu nakataa ukwel ni kua clouds wamepoteza mvuto watu wengi wameingia bure nimeona clip moja Sallam sk kaweka upande wa nyuma na jukwaani hakuna watu na nimapengo mapengo sana
Kwa asilimia 99.5 kamera nyingi azitaki onesha mwanzo wa uwanja mpk mwisho ziko jukwaani kwa mda mrefu sana kwa nini wasitumie drone kuprove watu wrong
NB Nlikuepo jana mimi ni mpenzi wa burudani na nilichoona pia shoo ilikua imepooza sana yani hakuna amsha amsha
Sio kujifanya. Mimi na matamasha ya hivyo mbali mbali na sio kama sipendi mziki. Mimi mtoto wa kike siwezi enda kuungana na wahuni national stadium.
Pia Kuna levels yaani sijizungumzii mimi ila ndo ipo hivyo huwezi kwepa.
Wa kishua na wa kajamba nani wataendelea kuwepo.
Furaha ya wananchi haiwezi kuletwa na matamasha ya muziki
Mtanzania wa kawaida akiweza kumudu milo mitatu kwa siku, makazi bora na huduma nzuri za Elimu pamoja na afya vitu kama matamasha ya mziki vinakua extra katika kumuongezea furaha