Swahilized German..pia matamshi yanakaribiana!!
ha ha..kumbee eeh! mfano skuli ya mjimkongwe!!
Liverpool wanaitamkaje "birthday" na London wanaitamkaje "birthday"?
neno question - tunatamka kweshen badala ya kwes'chen
'' consumer - '' konshuma badala ya konsyuma
'' producer - '' prodyuza badala ya prodyusa
'' assume - '' ashum badala ya asum au asyum
'' every - '' evere " evri
hayo ni maneno machache katika mengi ambayo nimeshuhudia yakiendelea kukosewa siku hadi siku hadi na walimu wa lugha husika.Mimi nilikua mmoja wa waathirika tokana na aina ya shule nilizosoma ,japo namshukuru Mungu baada ya kufika A level nilisoma Kiingereza katika Combination yangu na kusoma topic ya phonology inayohusisha matamshi ya lugha na kanuni zake ndipo nikagundua nilipokua nakosea na wengine wengi wamekua wakikosea.
Mwenye uelewa wa maneno mengine ya english ambayo ameyasikia yakikosewa na wa Tz ni vyema ayaweke ili tuboreshe lugha kidogo kimatamshi angalau.
Siyo sisi tu tunaokosea,na hawa je?A bus stops and two Italian men get on. They sit down and engage in an animated conversation. The lady sitting behind them ignores them at first, but her attention is galvanized when she hears one of the men say the following:
"Emma come first. Den I come. Den two asses come together. I come once-a-more. Two asses, they come together again. I come again and pee twice. Then I come one lasta time."
"You foul-mouthed sex obsessed swine," retorted the lady indignantly.
"In this country ... we don't speak aloud in public places about our sex lives ...
"Hey, coola down lady," said the man. "Who talkin' abouta sexa? I'm a justa tellin' my frienda how to spella 'Mississippi'."
Birthday ni neno linalokosewa sana Tanzania. Wabongo hulitamka "bathdei".
Hiyo "a" haipo kwenye matamshi sahihi. Sasa sijui watu huwa wanaitoa wapi tu!
SKULI ni kizanzibar
Siyo sisi tu tunaokosea,na hawa je?
leo hii mbongo ushuke LIVERPOOL toka tanzania,hata uwe prof wa english bongo,hauwezi sikia neno-it will take u a couple of days kuwaelewa hawa jamaa
Jina Samuel, watu hutamka Samweli... matamshi sahihi ni Samyuel...
Skuli watu wengi tunaitumia vibaya badala ya school (mambo ya swanglish hayo).
kiswahili chake ni shule mkuu.
Na wewe mwite profesa wa kiswahili hapa bongo aje makunduchi asikie kiswahili cha kimakunduchi kama hata toka jasho la masikio!leo hii mbongo ushuke LIVERPOOL toka tanzania,hata uwe prof wa english bongo,hauwezi sikia neno-it will take u a couple of days kuwaelewa hawa jamaa
Kwa mashabiki wenzangu wa mpira,,, neno possesion lina tofauti kubwa na position!! Ila ki boli boli mnaweza shikana mashati,Ee bwana eeh!tatizo ni boli position bwana,ukimwambia amekosea 90% wanakushangaa.
Pia neno New Castle, watu hutamka 'New kestlo', matamshi sahihi ni 'Nyu kesol'
Acha Noma hiyo ni kwa Uk tu South Africa kwenye super sport tunawasikia wakitamka kwa herufi zote Kestlo Laga sijawahi sikia wakisema Kesol Laga....Pia neno New Castle, watu hutamka 'New kestlo', matamshi sahihi ni 'Nyu kesol'
Umewasikia watangazajii si wasanifu wa lugha,kwani hapa akija mgeni aliyejifunza kiswahili haalafu asome magazeti yetu na kusikiliza vipindi vya radio zetu aje ku top up na tv presenters wetu, si atatokwa mkojo kwa huo uovyo wa lugha ya kiswahili!Acha Noma hiyo ni kwa Uk tu South Africa kwenye super sport tunawasikia wakitamka kwa herufi zote Kestlo Laga sijawahi sikia wakisema Kesol Laga....
Hata EPL TV mimi husikia Nyu kestlo yunaited... Labda huifinya st isisikike
naamini haujasikiliza kwa makiniAcha Noma hiyo ni kwa Uk tu South Africa kwenye super sport tunawasikia wakitamka kwa herufi zote Kestlo Laga sijawahi sikia wakisema Kesol Laga....
Hata EPL TV mimi husikia Nyu kestlo yunaited... Labda huifinya st isisikike