Matangazo (advertisement) makali ya kwenye TV

Yes matangazo yalikuwa yanatengenezwa huko sisi tulikuwa bado sana hatujafika level hizo...
Hadi sasa matangazo yanayotengenezwa na wataalamu wa matangazo wa Kibongo ni ya kiwango cha chini sana na yaliyokosa ubunifu. Badala ya matangazo kua na mvuto kwa wasikilizaji na watazamaji yanakua kero kiasi watu wengine wanalazimika kubadilisha channel ya TV anayoangalia au radio station anayosikiliza hadi tangazo liishe!
 
Tangazo la sabuni ya amani. Amani ni sabuni bora amani ni sabuni safi hili tangazo lilikua linawekwa itv kabla ya maigizo kuanza

Sabuni ya mshindi. Mshindi ni sabuni bora yenye nguvu,yenye kutakasa kuliko zote mshindiii eee mshindi ee

Bia ya safari,safari ni safari iwe kwa miguuu au kwa basi safari ni safi iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari

Tangazo la blueband. Mtoto:Mama mimi sitaki sitaki sitaki. Mama:hutaki nini wewe. Mtoto:sitaki mkate bila blueband

Kubwa kuliko ilikua uvumbuzi wa bia sijui Guinness ile tulizungushwa wee kuangalia mlima Kilimanjaro mwisho wa siku wapandaji wakaivumbua bia
 
Ila Guiness ilikuwa na matangazo mazuri sana,kuna kitu nimekisahau kuhusu Guiness
 
Tangazo la sabuni ya amani. Amani ni sabuni bora amani ni sabuni safi hili tangazo lilikua linawekwa itv kabla ya maigizo kuanza

Sabuni ya mshindi. Mshindi ni sabuni bora yenye nguvu,yenye kutakasa kuliko zote mshindiii eee mshindi ee

Bia ya safari,safari ni safari iwe kwa miguuu au kwa basi safari ni safi iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari

Tangazo la blueband. Mtoto:Mama mimi sitaki sitaki sitaki. Mama:hutaki nini wewe. Mtoto:sitaki mkate bila blueband

Kubwa kuliko ilikua uvumbuzi wa bia sijui Guinness ile tulizungushwa wee kuangalia mlima Kilimanjaro mwisho wa siku wapandaji wakaivumbua bia
Inaelekea we ni mhenga sana....watoto wa juzi hawatoelewa
 
Kuna tangazo moja la Serengeti zamani la chui.

Kuna tangazo Fulani la Azania breakfast.

Kuna tangazo Fulani na pipi Ivory.

Kuna tangazo moja la world cup la south Africa like linaimba ohooohooohohoohohoooohoo.

Kuna tangazo la coca cola la brother love bila kuisahau Zion zion
 
kuna tangazo la mondi la Rachael mlanzi nadhani ni voda
 
Una chaja lile la airtel
Na lile la enzi zile la "Tueleze siri ya mafanikio yako, siyo siri ni revola... " miaka ya 1999
Mmmmmmhmn ilikuwa ni nyuma ya 1999.... I think ni around 1996 kama sio 1997
 
Nadhani AZAM na brand zake wana kitu cha kutwambia siri za yale matangazo yao😂
 
Tangazo la maji ya Kilimanjaro

Tangazo la lotion ya jambo,kuna Jambo kubwa ya kati na ndogo kila mmoja anajitambulisha kwa kuimba na kukatika kwa wakati wake,Yule wa mwisho anasema Mimi naitwa jambo mdogo[emoji3]
 
Mwenye tangazo la Zantel lile wanakuwa kama wanapokezana simu aliweke hapa.

Linaanza na mwanafunzi wa kike amevaa sketi kijani na shati jeupe (kama uniform za sekondari).

Halafu linamalizika na jamaa wako kwenye pikipiki kama vespar hivi.
 
"Aspen King Size, unastahili kilicho bora zaidi."

Hili tangazo la sigara za Aspen miaka ile ya 2000s ha 2004 lilikua tangazo zuuri sana ambalo kila likirushwa unatamani kuliangalia

Tangazo jingine lililotubamba sana Wabongo ni kutoka hapo Kenya la marehemu Bi Gladys Wakesho na sabuni ya OMO la "ukitaka kujua uhondo wa ngoma na uingie ucheze"

Bi Gladys Wakesho alikuwa na haya ya kusema:

View attachment 1672304
 
Kayumba....
Mwishoe, Haki Elimuuuu, Kwah kwah
images%20-%202021-01-09T072954.545.jpg
 
Back
Top Bottom