Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Halafu kwanini hawatumii walevi ambao ni wateja wao kwenye matangazo.Matangazo ya pombe mengi huwa ni mazuri
Au ndio wanaona walevi wanawadhalilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kwanini hawatumii walevi ambao ni wateja wao kwenye matangazo.Matangazo ya pombe mengi huwa ni mazuri
Hadi sasa matangazo yanayotengenezwa na wataalamu wa matangazo wa Kibongo ni ya kiwango cha chini sana na yaliyokosa ubunifu. Badala ya matangazo kua na mvuto kwa wasikilizaji na watazamaji yanakua kero kiasi watu wengine wanalazimika kubadilisha channel ya TV anayoangalia au radio station anayosikiliza hadi tangazo liishe!Yes matangazo yalikuwa yanatengenezwa huko sisi tulikuwa bado sana hatujafika level hizo...
Ila Guiness ilikuwa na matangazo mazuri sana,kuna kitu nimekisahau kuhusu GuinessTangazo la sabuni ya amani. Amani ni sabuni bora amani ni sabuni safi hili tangazo lilikua linawekwa itv kabla ya maigizo kuanza
Sabuni ya mshindi. Mshindi ni sabuni bora yenye nguvu,yenye kutakasa kuliko zote mshindiii eee mshindi ee
Bia ya safari,safari ni safari iwe kwa miguuu au kwa basi safari ni safi iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari
Tangazo la blueband. Mtoto:Mama mimi sitaki sitaki sitaki. Mama:hutaki nini wewe. Mtoto:sitaki mkate bila blueband
Kubwa kuliko ilikua uvumbuzi wa bia sijui Guinness ile tulizungushwa wee kuangalia mlima Kilimanjaro mwisho wa siku wapandaji wakaivumbua bia
Inaelekea we ni mhenga sana....watoto wa juzi hawatoelewaTangazo la sabuni ya amani. Amani ni sabuni bora amani ni sabuni safi hili tangazo lilikua linawekwa itv kabla ya maigizo kuanza
Sabuni ya mshindi. Mshindi ni sabuni bora yenye nguvu,yenye kutakasa kuliko zote mshindiii eee mshindi ee
Bia ya safari,safari ni safari iwe kwa miguuu au kwa basi safari ni safi iwe mchana au usiku, kiangazi au masika safari ni safari
Tangazo la blueband. Mtoto:Mama mimi sitaki sitaki sitaki. Mama:hutaki nini wewe. Mtoto:sitaki mkate bila blueband
Kubwa kuliko ilikua uvumbuzi wa bia sijui Guinness ile tulizungushwa wee kuangalia mlima Kilimanjaro mwisho wa siku wapandaji wakaivumbua bia
Lilikuwa tangazo la aina yake nitalitafuta niliangalie tena.Tangazo la Chai Jaba, akina dada watatu wanaimba. Lilisababisha watu wenye midomo mikubwa au wale wanaoongea sana kuitwa chai jaba.
Mmmmmmhmn ilikuwa ni nyuma ya 1999.... I think ni around 1996 kama sio 1997Una chaja lile la airtel
Na lile la enzi zile la "Tueleze siri ya mafanikio yako, siyo siri ni revola... " miaka ya 1999
Mimi niliona mwaka 99 mkuu nina kumbukumbu zake kwasababu ya tukio fulaniMmmmmmhmn ilikuwa ni nyuma ya 1999.... I think ni around 1996 kama sio 1997
Nimeongelea tangazo la Revola soma vizuri.99 kulikua na airtel mkuu
Tangazo la lotion ya jambo,kuna Jambo kubwa ya kati na ndogo kila mmoja anajitambulisha kwa kuimba na kukatika kwa wakati wake,Yule wa mwisho anasema Mimi naitwa jambo mdogo[emoji3]
Hili tangazo lilikuwa Baab Kubwa......!!!!Tangazo kali ni hili hapa chini
"Aspen King Size, unastahili kilicho bora zaidi."
Hili tangazo la sigara za Aspen miaka ile ya 2000s ha 2004 lilikua tangazo zuuri sana ambalo kila likirushwa unatamani kuliangalia
Tangazo jingine lililotubamba sana Wabongo ni kutoka hapo Kenya la marehemu Bi Gladys Wakesho na sabuni ya OMO la "ukitaka kujua uhondo wa ngoma na uingie ucheze"