Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma


..............NATIMIZA!
Eeh bwana hili tangazo nalipenda sana.
 
tangazo la tigo,bum bum bum...lile ni tangazo zaid hata ya nyimbo za siku hiz..,,maana vile ni vipaji na ni live acapela.....wale madogo wako vzri kama yamooto band siku hizi
 
Bila kusahau lile la chai bora...chai bora kilele cha ubora chai nzuri kwa watanzania kutokana na ubora wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 




Mmmmhhh mkuu hivi tangazo la mcharo kawa mtaaaamu siyo la airtel timiza? Au nimechanganya mimi best?
 
Mimi naitwa jambo kubwa ww unaitwa nani?mimi naitwa jambo katikati na ww je?me naitwa jambo dogo!!!
Ahahahhaaaaa hili noma aisee

cement; umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hilo tangazo lilikuwa bonge moja la tangazo dadekiiii
 
Last edited by a moderator:
Tangazo la Serengeti chui chui lile lilikua balaa.. Na lingine la condom miaka ya 2001.. Jamaa anavesha condom chupa ya maji. Lilikua linaoneshwa kabla ya habari za kimataifa ITV hapo mpo na wazazi sebuleni, hatari tupu
 
Hapa kuna mengine yakirudiwa hata leo bado yatatia fora tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…