Matangazo ya Cocacola kwenye TV

Kuna mtu namjua yuko pepsi nilimuuliza mbona coca cola wanauza kuliko nyinyi yet wanatangaza kuliko nyinyi? Jibu lake ni kuwa coca cola brand ya huko ilikotoka wanagharamia matangazo ya cocs cola hadi hapa TZ wakati pepsi tz inabidi wajigharamie wenyewe matangazo.
 
Niliwahi kujiuliza na kumuuliza mtu the same qn, maybe wanapata faida sana.
 
Ulivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.
 
Walio soma professional ya marketing wanaweza kukuelezea vizur kwann makampuni ya vinywaji baridi wanatumia sana matangazo, bila matangazo hakuna mtu atakunywa soda mkuu, jaribu kugoogle watakupa shule vizur kuhusu ili coz mm nimesha sahau nw niko kwny ujasiriamali so mimesahau mambo ya shule coz nikitambo nw
 

Huu wimbo uliimbwa na nani?
 


Nafahamu umuhimu wa matangazo
ila hawa coca huoni wamewazidi Pepsi na wengine kwa mbali kwa matangazo?
niko curious na hilo
je bajeti yao ikoje?
wanafanikiwa strategies?
 


Nafikiri lengo ni ku target wazazi wa baadae
wanagusa watoto ....watoto wanakua na kuzoea kuwa coca iko sehemu ya maisha yao
brand yao inakuwa sehemu ya familia
 
Niliwahi kujiuliza na kumuuliza mtu the same qn, maybe wanapata faida sana.

Zamani niliwahi kusikia coca tz wanatumia nusu ya faida kwa matangazo
ila sasa naona kama ni zaidi ya nusu
ndo maana nauliza watu ...tujue siri yao
manake matangazo yao si mchezo kila baada ya dakika tano tu
 

Basi pepsi hawataweza ku shindana..
au ni uzembe tu wao
 
Sidhani kama kukitokea baya la coca cola wataripoti.
 


Hawa jamaa si mchezo
siku zote wako kwenye top five brand dunia nzima
 
Hata Mimi nashangaa. Ukitazama Tv zote Tanzania kwa ujumla wake ni kama kila baada ya dakika kumi kuna tangazo la Cocacola!!
 
Hata Mimi nashangaa. Ukitazama Tv zote Tanzania kwa ujumla wake ni kama kila baada ya dakika kumi kuna tangazo la Cocacola!!


Hawa jamaa ni watu wa research sana na mambo yao yako very scientific ...
tungepata mtu wa kutuambia hasa wana target nini ingetusaidia....

jinsi wanavyo tawala matangazo ni jambo la kujifunza..

umeona humu kila mtu ina maana 'amefikiwa' na matangazo yao
 
Since 1886

ukiachilia mbali matangazo
ya television na radio wanaongoza pia kwa kua
na mabango makubwa kila kona ya dunia!

kuna target zao ambazo haziko wazi nahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…