Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Coca wapo vizur aisee yani wana strategic Kali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu namjua yuko pepsi nilimuuliza mbona coca cola wanauza kuliko nyinyi yet wanatangaza kuliko nyinyi? Jibu lake ni kuwa coca cola brand ya huko ilikotoka wanagharamia matangazo ya cocs cola hadi hapa TZ wakati pepsi tz inabidi wajigharamie wenyewe matangazo.Najiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?
watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?
Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...
je wanafanikiwa?
kuna policy yeyote wanaoifuata...
niko very curious...
Ulivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.Wanafanya matangazo kwa kuwatumia watoto na mambo wanayopenda kuyafanya ili wawavutie watoto wengine waiangazie soda yao.
Pia Wanalenga watoto kwa sababu utafiti unaonyesha watoto wengi ndiyo wanywaji wa soda.
Watu wazima hamlengwi sana kwasababu asilimia kubwa mna vinywaji vyenu vikubwa mpendavyo [emoji23]
Lakini pia wanawalenga watoto kwasababu ya Ushawishi mkubwa waliokuwa nao ndani ya familia.
Kitu kikipendwa na watoto nyumbani wazazi mnajikuta tu na nyinyi humohumo [emoji23] watu wenye akili zao wanajua kuutumia udhaifu huo vizuri.
Walio soma professional ya marketing wanaweza kukuelezea vizur kwann makampuni ya vinywaji baridi wanatumia sana matangazo, bila matangazo hakuna mtu atakunywa soda mkuu, jaribu kugoogle watakupa shule vizur kuhusu ili coz mm nimesha sahau nw niko kwny ujasiriamali so mimesahau mambo ya shule coz nikitambo nwNajiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?
watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?
Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...
je wanafanikiwa?
kuna policy yeyote wanaoifuata...
niko very curious...
Hey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, know the water’s sweet but blood is thicker
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Hey brother, do you still believe in one another?
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Hey brother, there’s an endless road to re-discover
Hey sister, do you still believe in love, I wonder?
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
What if I’m far from home?
Oh, brother I will hear you call
What if I lose it all?
Oh, sister I will help you out!
Oh, if the sky comes falling down for you
There’s nothing in this world I wouldn’t do
Walio soma professional ya marketing wanaweza kukuelezea vizur kwann makampuni ya vinywaji baridi wanatumia sana matangazo, bila matangazo hakuna mtu atakunywa soda mkuu, jaribu kugoogle watakupa shule vizur kuhusu ili coz mm nimesha sahau nw niko kwny ujasiriamali so mimesahau mambo ya shule coz nikitambo nw
Ulivyoelezea ni as if watoto wana-influence maamuzi ya familia! Hili jambo siyo kweli kabisa! Kwani mzazi hawezi kumwambia mtoto kwamba hawezi kukubali kila jambo ambalo mtoto anaomba? Ilmradi mtoto aambiwe kwanini jambo haliwezekani, hakuna shida. Kama unaendesha familia kwa staili ya kukubali kila jambo ambalo mtoto analitaka, ni hatari sana kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako.
Niliwahi kujiuliza na kumuuliza mtu the same qn, maybe wanapata faida sana.
Kuna mtu namjua yuko pepsi nilimuuliza mbona coca cola wanauza kuliko nyinyi yet wanatangaza kuliko nyinyi? Jibu lake ni kuwa coca cola brand ya huko ilikotoka wanagharamia matangazo ya cocs cola hadi hapa TZ wakati pepsi tz inabidi wajigharamie wenyewe matangazo.
You never know.Basi pepsi hawataweza ku shindana..
au ni uzembe tu wao
1886 - Drink Coca-Cola
1904 - Delicious and Refreshing
1905 - Coca-Cola Revives and Sustains
1906 - The Great National Temperance Beverage
1917 - Three Million a Day
1922 - Thirst Knows No Season
1923 - Enjoy Thirst
1924 - Refresh Yourself
1925 - Six Million a Day
1926 - It Had to Be Good to Get Where It Is
1927 - Pure as Sunlight
1927 - Around the Corner from Everywhere
1929 - The Pause that Refreshes
1932 - Ice Cold Sunshine
1938 - The Best Friend Thirst Ever Had
1939 - Thirst Asks Nothing More
1939 - Whoever You Are, Whatever You Do, Wherever You May Be, When You Think of Refreshment Think of Ice ColdCoca-Cola
1942 - The Only Thing LikeCoca-Cola is Coca-Cola Itself
1948 - Where There's Coke There's Hospitality
1949 - Along the Highway to Anywhere
1952 - What You Want is a Coke
1956 - Coca-Cola... Makes Good Things Taste Better
1957 - Sign of Good Taste
1958 - The Cold, Crisp Taste of Coke
1959 - Be Really Refreshed
1963 - Things Go Better with Coke
1969 - It's the Real Thing
1971 - I'd Like to Buy the World a Coke (part of the "It's the Real Thing" campaign)
1975 - Look Up America
1976 - Coke Adds Life
1979 - Have a Coke and a Smile
1982 - Coke Is It!
1985 - We've Got a Taste for You (for both Coca-Cola & Coca-Colaclassic)
1985 - America's Real Choice (for both Coca-Cola & Coca-Colaclassic)
1986 - Red, White & You (forCoca-Cola classic)
1986 - Catch the Wave (forCoca-Cola)
1987 - When Coca-Cola is a Part of Your Life, You Can't Beat the Feeling
1988 - You Can't Beat the Feeling
1989 - Official Soft Drink of Summer
1990 - You Can't Beat the Real Thing
1993 - Always Coca-Cola
2000 - Coca-Cola. Enjoy
2001 - Life Tastes Good
2003 - Coca-Cola... Real
2005 - Make It Real
2006 - The Coke Side of Life
2009 - Open Happiness
Since 1886Hawa jamaa si mchezo
siku zote wako kwenye top five brand dunia nzima
Hata Mimi nashangaa. Ukitazama Tv zote Tanzania kwa ujumla wake ni kama kila baada ya dakika kumi kuna tangazo la Cocacola!!
Pepsi wana sehemu zaoYou never know.
Japo wana biti nzuri ila kweli sio vizuri kwa wattSio uoga mkuu lile tangazo lazima walifanyie marekebisho linaweza zua msiba kwa watoto wetu.