Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes hiyo nayo pia wameshawahi kuitumia. Ingawa siyo niliyokuwanaizungumzia.Avicii & Conrad Sewell - Taste the Feeling
Hii ndio naona imeimbwa kwa lugha nyingi. Mpaka dai, fally ipupa nao wameimbaYes hiyo nayo pia wameshawahi kuitumia. Ingawa siyo niliyokuwanaizungumzia.
Campaign zao huwa ni mabara kwa mabara.... Wakichagua Theme Song ya mwaka husika inarudiwa kwa Lugha inayopendelewa katika masoko yote wanayoyalenga.Hii ndio naona imeimbwa kwa lugha nyingi. Mpaka dai, fally ipupa nao wameimba
Hiyo ipo kune animation ya spongebob square pant....
Ni formula ya siri sana[emoji1] inayotumika kutengeneza hizo krabby patty (ni kama buger flani hivi..)
Mpaka sasa pia sijaona kampuni iliyo invest kwenye juice ya miwa zaidi yakuona vijana wakikamua na ma inzi yamewazongainteresting..
Hahahaha.....We mwenyewe una sponge za kutosha
Nahis wanapewa fungu la matangazo toka mbeleCocacola siku zote wanatangaza sana
kabla hata ya bakhresa kuja
na hakuna anaejua nani ana lead kwa mauzo
Hilo Tangazo ili ulipende unatakiwa ukielewe kisa mwanzo mwisho, kaka anamjambisha sana mdogo ake wakiwa nyumbani lakini pale mdogo ake anapo onewa huko kitaa kaka anatokea na kumsaidia, huku kama nae anataka kunywa soda yake wakati dogo anakiu balaa..tunashuhudia upendo wa kaka kwa mdogo wake na dogo haamini kama kaka ake angeweza msaidia na kumpatia soda yake kwa kile anachofanyiwa nyumbaniMimi lile tangazo lao la watoto wananyang'anyana coke halafu yule mwingine anaibetua wakati mwenzake anakunywa silipendi kwelikweli, linaniogopesha sana maana watoto wanaweza kuiga halafu ikawa majanga soda ikipita mahali pasipo husika mwilini..yaani ni vile sina uwezo wa ku li edit tu.
Hilo Tangazo ili ulipende unatakiwa ukielewe kisa mwanzo mwisho, kaka anamjambisha sana mdogo ake wakiwa nyumbani lakini pale mdogo ake anapo onewa huko kitaa kaka anatokea na kumsaidia, huku kama nae anataka kunywa soda yake wakati dogo anakiu balaa..tunashuhudia upendo wa kaka kwa mdogo wake na dogo haamini kama kaka ake angeweza msaidia na kumpatia soda yake kwa kile anachofanyiwa nyumbani
Anamkomaza, dogo achangamke ndio maana anakuwa anaonewa skuli, but ingawa kaka anamuonea dogo ake tunauona msaada wake pale anapopokwa coca huku dogo anakiuMi cpendi yule kijana mdogo anavyonyanyaswa na kaka yake!
Kwanini uwape watoto Soda hio?? Watoto yao Juice, hayo mavinywaji kunywa wewe mzee. Ndio maana afya zetu zinayumba miaka hii, mtoto ana miaka mitano alishakunywa coca kama lita 20 hivi?? Why??
Nieleweshe tafadhaliHujanielewa
Kipindi kile walikuw na Share the funDuh...
Sina hakika kama utanielewa mkuu.Nieleweshe tafadhali
Lakini pia wanawalenga watoto kwasababu ya Ushawishi mkubwa waliokuwa nao ndani ya familia.
Kitu kikipendwa na watoto nyumbani wazazi mnajikuta tu na nyinyi humohumo [emoji23] watu wenye akili zao wanajua kuutumia udhaifu huo vizuri.